Dr Slaa Awafunda Polisi Iringa, Wafundika

Dr Slaa Awafunda Polisi Iringa, Wafundika

Huyu bora ajiunge na ACT mapema kuepuka aibu kubwa zaidi.
Malaya wa kisiasa wakubwa kukalisha makalio kwenye mitandao tangu CCJ,ADC,Chaumma na asa ACT unakula bure kama bwabwa vile huna jipya aidi ya kukoroma na kusaga makalio kwenye viti ,ACT chama cha nyota ya kiislamu kitashinda nguvu ya uamsho kweli
 
unauliza dk slaa kama nani? wewe na dk slaa nani anaanza kuonana na kikwete
 
Kuna threads nyingi za maana ambazo huwa zinanyofolewa na mods humu bila taarifa. Nashangaa hii ya kipuuzi kabisa wameamua kuiacha.
 
Ni kiongozi anayetegemewa na taifa na ulimwengu kwa ujumla.
 
Nchi ikija kupata machafuko hii,mods wa jamii forum watakuja kujibu baadhi ya mambo ya uchochezi ndani ya hii jamii,tumeona nchi zilizopata machafuko,source na chuki zote zinaanzaga kwenye mitandao ya kijamii,huko nyuma zilikuwa zinatumika redio na tv na wahusika wamechukuliwa hatua za kinidhamu kwa kuruhusu ama kwa kueneza chuki ndani ya jamii.Na hili ndilo ninaloliona katika jukwaa hili linalojipambanua kama ni jukwaa la siasa,wakati si kweli,hili ni jukwaa la kueneza chuki ndani ya jamii ya Kitanzania.Nimejaribu kuweka uzi wa kuwaomba kusimamia hili jukwaa kukaa kwenye sera yao ya kisiasa,lakini uzi umeondolewa kwa makusudi tu ili kuruhusu upuuzi uendelee kutawala hili jukwaa.Niseme kazi yangu ya kushauri nimeimaliza yatakayofuata si kazi yangu.
 
Back
Top Bottom