Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
Kama ilivyo kwa mbunge wa CUF, NCCR Mageuzi na sasa Zitto, kwa vile ngazi ushindi kiti cha ubunge kisiasa ilikuwa Chadema, na ubunge upo kwa miavuli ya kichama kwa mazingira ya sasa, licha ya kutoshirikishwa masuala ya chama kama ilivyotokea, hesabu ya ruzuku toka serikalini kwenda vyama vya siasa kadiri ya jedwali ya kura za Urais, ubunge na madiwani, dhahiri Zitto bado anainufaisha Chadema hata kama yupo ndani ya mkakati wa chama chake kipya.


