ndo maana uimara wa Wapinzani kama Lisu huwa unanifanya nimchukie zito.Hebu fikiria una Tundu, mbowe, zito, mnyika, wenje, silinde,msigwa,lema, mdee,mkosamali,kafulila n.k in your squad and your are aiming at the same target at the same range, lazima adui anyanyue mikono.lakini if wishes could...