Kuna gari nyingine ukiwa nazo lazima uwe na gari mchepuko, hiyo itakusaidia kutopigwa bei ya spare kwa 7bu utakuwa na muda mwingi hata kuagiza ikihitajika. Bongo jinsi hiyo hiyo taa uliyoambiwa 1.5m unaweza ingia mtaa 3 ukaambiwa 800k uka bargain ukauziwa kwa 600k au 650k. Halafu hiyo ya kusema...
Yaani hawa wako kizamani zamani saana, nilipoteza id nilienda posta mpya requirements nilizopewa ni tofauti na nilizopewa wilayani, sio hivyo tu hawana TAT/Turn Around Time nimewakilisha maombi 23-12-2026 mpaka sasa hakijatoka, hakuna anaejua kitatoka lini. Nikitaka kupata feedback inabidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.