Recent content by adil_abdallah

  1. adil_abdallah

    Tamko la Rais Kikwete juu ya Tukio la Arusha

    kuna tofauti kubwa ya muislamu na uislamu..tambueni mtume muhammad (saw) alikaa na wapagani kwa amani na pia wakikristo.vita alizo pigana yeye ni kwa wale wanaezuia yeye kutekeleza jukumu lake alilotumwa kufanya.pia vita ilikua inapangwa mahala pakufanyika na watoto na wanawake hawaruhusiwi...
  2. adil_abdallah

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    katiba inashushwa miaka ya kugombea urais,halafu ndo itajulikana kua maharagwe sio mboga ya kumpaa mgeni!!
  3. adil_abdallah

    CCM wamsimamishe nani Arusha mjini?

    tume kichafua wenyewe tutasafisha wenye...ccm sio mbaya,ila baadhi ya watu ndani yake hawaitakii mema nchi!!..hakuna kisicho wezekana ila ni muda unahitajika!!
  4. adil_abdallah

    Tanzania has most trade barriers in EAC- report!!!

    we tanzanian have our own traditions an ways of running ourselves..in nairoberry if u ask a person for a direction to a certain place,they ask u for little cash first then help u..in tz a person will get a pen first and draw u the directions!!!please dnt compare the rate of corruption of kenya...
  5. adil_abdallah

    CCM wamsimamishe nani Arusha mjini?

    nawapa challenge ccm japo mie ni mwana ccm..kama wana weza wamsimamishe kijana mwenye busara,hekima na kuielewa siasa kama joshua nasari!!!
  6. adil_abdallah

    Matusi ya Lema na Matusi ya Lusinde ni Matusi Yetu na Unafiki Wetu!

    well said mkuu..siasa ni hoja na kukubali kushindwa...tuache ushabiki wa vyama,tuweke maslahi ya nchi mbele na tuangalie ubora wa mtu sio chama chake!!
  7. adil_abdallah

    Matusi ya Lema na Matusi ya Lusinde ni Matusi Yetu na Unafiki Wetu!

    lusinde,lema,mdee,sugu hawatufai sisi watanzania tunae pambana na maisha na tunae itakia mema hii nchi yetu ilie yumba kiuchumi...tunataka kiongozi mwenye jitihada binafsi katika kuwasaidia wananchi kuyapata na kuyafikia wanayo yahitaji,sio mwana siasa mwenye kupewa hadhi asiye stahili na chama...
  8. adil_abdallah

    Mh lema amefungiwa miaka 5 kushiriki uchaguzi wowote?frm mwananchi news paper

    ni miaka mitano kutowania ubunge,yani miaka mitano ndo adhabu yenyewe ya mahakama kwa mgombea alie fanya kampeni isiyo faa!!
  9. adil_abdallah

    Nassari sawa, Lema hapana!!

    hoja haikua na tusi,haikua ya kutetea chama fulani,haikua yenye kashfa...hoja ilizungumzia kiongozi bora na kiongozi asie faa katika chama hicho hicho,lengo halikua kukosoa chama bali kumsifu kiongozi bora wa chama hichohicho na kumkosoa asie faa kutoka chama hicho hicho....lengo lilikua...
  10. adil_abdallah

    Nassari sawa, Lema hapana!!

    mbona mna panic??chadema wamewafundisha matusi tu,kuhusu hoja mbona hawajawapa tuition???yani wanawakusanya alafu wakisha fika bei ya kununuliwa wana watekeleza...waulizeni wana tlp,nccr na cuf.....mnafanywa makatuni wakati mmesha balee??
  11. adil_abdallah

    Nassari sawa, Lema hapana!!

    wewe ujinga umeupata upande wa bibi yako,alafu upumbavu umeutoa chadema....adam mtu wa kwanza duniani hakua na elimu ila alikua na hekima...lema hana hekima,alafu wewe kama mtumwa wake unae wekewa mafuta ili ukarushe mawe ndo umekua malaya wa hoja!!!..wewe siasa huiwezi,wewe kaa tu nyumbani uwe...
  12. adil_abdallah

    Nassari sawa, Lema hapana!!

    mie nadhani wewe umepewa uwezo wa kutafakari,ila hujui jinsi ya kutafakari....kama lema alivopewa uwezo ya kuongoza alafu akawa hajui jinsi ya kuongoza!!
  13. adil_abdallah

    Nassari sawa, Lema hapana!!

    lusinde yupo dodoma mie niko arusha..sijui chuki yangu na lusinde ungeianzisha wewe??kama huyo lusinde angekua hapa arusha,na tunaona anafanya utumbo kwa macho yetu sio kutegemea magazeti na radio...basi kama hakua bora kwetu wana arusha,tusinge ridhika nae!!!..hapa tunaongelea yanayo onekana...
Back
Top Bottom