Mh lema amefungiwa miaka 5 kushiriki uchaguzi wowote?frm mwananchi news paper

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Nimesoma hii kipande nkaona ni vyema tuwekane sawa
kwenye gazeti la mwananchi wanasema mh lema amefungiwa miaka 5 kushiriki uchaguzi wowote
sasa kama hivi nahisi wakati muafaka wa kukimbilia rufaa na kuacha wenye vichwa vyao kuwafundisha hawa washenzi mahakimu...naombeni wenye kuelewa hili mtuelekeze
tafadhali
 
Nimesoma hii kipande nkaona ni vyema tuwekane sawa
kwenye gazeti la mwananchi wanasema mh lema amefungiwa miaka 5 kushiriki uchaguzi wowote
sasa kama hivi nahisi wakati muafaka wa kukimbilia rufaa na kuacha wenye vichwa vyao kuwafundisha hawa washenzi mahakimu...naombeni wenye kuelewa hili mtuelekeze
tafadhali
Kushiriki kwa maana ya kuchagua lakini anaruhusiwa kushiriki kama mgombea!!
 
Kunamtu anaweza akatembea bila nguo naakaona sawa!Yaani asione aibu hata kama atazomewa,Sasa huyu ametembea uchi watu wamezomea wapi kamua kuinama muone kinyesi chake!Wamemnyang'anya ubunge wameona haitoshi sasa wanataka asishiriki uchaguzi!AIBUUUUUuuuu...........*¤!"?¿¥.
 
Kwa jinsi walivyoripoti gazeti la mwananchi, kwa kweli wengi bado hatuelewi vizuri kama godbless lema amefungiwa kugombea kwa miaka mitano ama la!
 
ni miaka mitano kutowania ubunge,yani miaka mitano ndo adhabu yenyewe ya mahakama kwa mgombea alie fanya kampeni isiyo faa!!
 
Ni gazeti zuri lakini nimekuwa linapotosha habari,
Si elewi ni kanini imekuwa inatokea hivyo.?
 
Hata mimi sijaelewa kabisa kinachoendelea ,maana hata kwenye gazeti la mwananchi naona heading tu lakini habari kamili haisemi kitu juu ya hilo
 
mimi naona wakate rufaa hukumu yenyewe tayari ina walakini na hii ni fursa nzuri kwa kuwa jaji hakuwa makini
na hawezi kubadili chocote ktk file alichoandika kwani wtk anasoma watu walinote vifungu alivotumia
mahakama ya rufaa itatengua naamini hivo.CHADEMA KATENI RUFAA MARA MOJA MTARUDISHIWA MBUNGE WENU
NAMPENDA SANA SHETANI HUWA ANAKUKAMATA LAKINI ATAKUUMBUA NA NDIVO ATAKAVOUMBUKA JAJI.
 
kama hukumu ya m2 aliyefanya kampein mapema adhabu yake ni kufungiwa ka g.lema, basi wagombea zaidi ya 90 asilimia nao wafungiwe make 2nawaonaga.............................
 
Back
Top Bottom