Recent content by adidace10

  1. adidace10

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu akamatwa na kushikiliwa na TAKUKURU mkoani Singida

    Mi naona km break zimekatika.
  2. adidace10

    JamiiForums Tanzania Askofu Emmaus Mwamakula: Ujumbe maalumu kwa Tundu Lissu

    Kwani tundu Kapona? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. adidace10

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Nitachukua hatua ndani ya siku tatu kutekwa kwa MO Dewji

    Uliskia vibaya miez mi3 Sent using Jamii Forums mobile app
  4. adidace10

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume wa kuwa nae maishani

    Hata Ungeongeza 4 bado ungekua binti tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. adidace10

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli huyu dada kavaa Sare za Jeshi la Tanzania za mkuu Brg Grn CD Katenga?

    Alie vunja sheria ni port kwan ndie anae ifaham sheria huyu bibie sioni kosa lake cuz she know nothing. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. adidace10

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzanians don't travel, sijui ni kukosa pesa ama kuna la zaidi!

    Nyie mnakausha koo Jina la poster mmeliona? mi nahisi km linasadifu yaliyomo. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. adidace10

    JamiiForums Tanzania Msichana anamdai hela mwanaume kama konda anataka nauli

    Hahahahaaaaaa ahadi zingine sio kabisa
  8. adidace10

    JamiiForums Tanzania Msichana anamdai hela mwanaume kama konda anataka nauli

    Kibaya zaidi usiwe uliahidi kumuoa,kwa sisi waislam kesho asubui unafungua mlango tu ndoa inafungwa mlangoni.
  9. adidace10

    JamiiForums Tanzania Msichana anamdai hela mwanaume kama konda anataka nauli

    Kwani we hujui km ahadi ni deni? Toa helaaaaaaaaaaaa ili siku nyingine usiahid tena.
  10. adidace10

    JamiiForums Tanzania Basi la Kampuni ya TAHMEED lawaka moto na kuteketea kabisa

    Poleni sana
  11. adidace10

    JamiiForums Tanzania Hivi ni ukoo wetu tu tuko hivi au na wengine mna experience upuuzi kama huu?

    Na ndio wakwanza kulia kwa uchungu km mgonjwa ameenda mbinguni.
  12. adidace10

    JamiiForums Tanzania Najua 90% mtakosa hii..

    Mi nimeona kiboko
  13. adidace10

    JamiiForums Tanzania Mil 4 nizitumie kusafiri kwenda Nigeria kwa TB Joshua ili nirudiane na mke wangu Au niitumie kufungua kijiwe?

    Go back kwa wife then wife akikususa fanya mambo mengine duniani kuna mambo meng sana ya kufanya.
  14. adidace10

    JamiiForums Tanzania ROMA, ITALIA: Papa Francis adaiwa kusema Jehanamu hakuna moto na roho za wasiotubu zitatoweka, Vatican wakanusha

    Chakumsaidia ni hiki,ni bora aamini kua moto upo ila asiukute,kuliko aamini haupo then aukute,hapo ndio atajua ni kwanini risasi ilipigwa juu ikaua mtu ndani ya gar.
Back
Top Bottom