Msichana anamdai hela mwanaume kama konda anataka nauli

Msichana anamdai hela mwanaume kama konda anataka nauli

pole inawezekana alienda kukopa kitu chenye thamani ya hiyo hela uliyoahidi.
Ndio maana baadhi yao wanakuwa na msululu wa mwanaume.

Na wote wanatumiwa msg ya aina moja ya kuombwa hela utafikir msg ya matangazo ya Voda kwa Wateja.

Hapo akishatuma anaanza kusubiri nani atakuwa wakwanza kumpa hela??

Kweli Kazi IPO!!!
 
Duuu sipendi kuombwa hela!!
Umenikumbusha kuna jamaa baada ya kumpata msichana aliemfukuzia kwa mda mrefu akamwambia hivo.

Yule mdada muda huohuo akamkataa jamaa!!

Wasichana wengi wa Leo hawapendi MTU ila Pesa tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtoe hela mautamu mnataka
Wengine unakuta gogo kitandani,usafi ziro pointi negativu!ingawa ukitoa ahadi inabidi utimize maana AHADI NI DENI
 
Wewe jua kitu kimoja tu, ukiwa na demu 98% upo kwenye biashara. wewe nunua tumia
 
Nyege ni ugonjwa hatari sana kwa Taifa la Tz.

Unaweza ahidi hata Bombardier ya mzee baba. Na wakati hauna hata bajaji
 
Nyege ni ugonjwa hatari sana kwa Taifa la Tz.

Unaweza ahidi hata Bombardier ya mzee baba. Na wakati hauna hata bajaji
Mkuu umesababisha nicheke kwa sauti hadi nimejistukia
 
Wanajua kudai asee, kila saa simu bby usisahau nakukumbusha ile mzigo duh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnapenda vyabure mweh
 
kwanza unaanzaje kumuita mshkaji wako best?

nirudi kwenye mada mwambie jamaa alifanya makubaliano na mfanya biashara
 
kwanza unaanzaje kumuita mshkaji wako best?

nirudi kwenye mada mwambie jamaa alifanya makubaliano na mfanya biashara
Mkuu kweli Ilikuwa business kwa hali ile du
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom