Habarini wanajamvi, poleni na majukumu ya kujitafutia ridhki.
Ninao bata Bukini wanaotarajia kutaga pair 2, yaani majike 2 na madume 2, na Bata mzinga 3 majike 2 na dume 1.
Bata wote hawa nawauza kwasababu za kuhama eneo hivyo ni vigumu kuwabeba ndio maana nalazimika kuwauza haraka.
Kwa mwenye...
Umepuyanga tu bila hata kuweka vifungu vya sheria unavyotaka watu wajue kuwa Feisal ameonewa na kamati.
Ukiwa na akili timamu utagundua hakuna sehemu Yanga au kamati au mtu yoyote mwenye akili timamu amesema Feisal hawezi kuvunja mkataba na Yanga, ila kilichopo ni utaratibu na hajalazimishwa...
Kiukweli Rais wetu anatufadhaisha, yaani nchi inachezewa na wahuni tena mchana kweupe hachukui hatua.
Ahueni ya masikini ni kuona kiongozi wake akipambana kulinda rasilimali zao hata kama watalala njaa lakini wanafurahia kuona Rais wao anadhibiti kila aina ya WIZI, sasa kinyume chake, Masikini...
Kwa wastani wengi wana maisha mazuri, ukumbukue kuna watumishi wa Ikulu wanazidiwa mishahara na wale wa serikali za mitaa, ila kwa ujumla Ikulu ni pazuri.
Madhara ya kuruhusu watubwenye matatizo ya akili kuandika hadharani ndio haya, ungekuwa na akili wala usingeandika hizi takataka zako.
Unaowatuna wafanye hivyo wana akili na wanajua madhara ya ushauri wako wa kijinga.
Usiogope kama unazungumzia bidhaa za masokoni huko kama vyakula hakuna wa kukushika, mfano umekuta dagaa ukaamua kuziweka kwenye vifungashio na kuziongezea ubora nani atakushtaki sasa?
Ni kama utamaduni au siasa ya aina fulani iliyozoeleka kila siku takatifu ya Jumapili kuona taarifa za wapi Rais wetu mpendwa ameswali, lengo kubwa huenda lilikuwa kututaarifu juu ya uimara wa Rais wetu katika maswala ya imani yake au kutaka kutuonyesha kuwa Rais ni mtu wa Mungu kwelikweli na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.