Wakuu nikifanya huu ujanja nitakuwa nimekosea kisheria au ni ubunifu wa kijasiliamali

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,486
15,030
Nimepita mitaani na masokoni nimegundua watu wengi wanabidhaa nzuri lakini hawajui kuziwekea manjonjo na katika vifungashio vya kijanja tamanishi kwa wateja.

Nimejipanga kuanza kununua bidhaa zilizohalilishwa na Zisizohalali (hazijapitia TFDA) nafungua makasha natupa. Ila ile content naiweka katika vifungashio vyangu vyenye sifa zangu (Navitafiti bado) Kisha naiingiza bidhaa sokoni kwa bei ya juu kidogo.

Hii bidhaa kwa sababu sijatumika kuiandaa, japo nimeinunua nitakuwa niko sahihi kisheria wakuu.
 
In fact ni kweli, utakuwa hatiani kisheria. Tena haswa, wahusika wa bidhaa hizo utakazo zitumia, wakapata taarifa juu ya hiko unachokifanya, then wakaamua kula sahani moja na wewe kisheria.

Mind you kwenye biashara, kuna vifungu vya utamburisho wa umiliki wa bidhaa husika. Normally vifungu hivyo vinasimamiwa na mamlaka fulani, katika nchi husika. Mfano kwa hapa Tanzania, tuna Brela....

Be carefully.
 
Nimepita mitaani na masokoni nimegundua watu wengi wanabidhaa nzuri lakini wawajui kuziwekea manjonjo na ktk vifungashio vya kijanja tamanishi kwa wateja.

nimejipanga kuanza kununua bidhaa zilizohalilishwa na Zisizohalali (hazijapitia TFDA) nafungua makasha natupa. ila ile content naiweka katika vifungashio vyangu vyenye sifa zangu (Navitafiti bado) Kisha naiinhiza bidhaa sokoni kwa bei ya juu kidogo.

Hii bidhaa kwa sababu sijatumika kuiandaa, japo nimeinunua nitakuwa niko sahihi kisheria wakuu.
Kama ni hvyo ni bora kuongea na wazalishaji wakuuzie bila vifungashio then wewe unachofanya ni kama kuongeza mnyororo wa thamani kwa kuboresha unapoona kuna weakness invluding packaging!
 
Kibongobongo si rahisi kukukamata hasa kwa bidhaa za mtaani ambazo hazijasajiliwa...ila ukianza kuweka vifungashio vizuri utawavutia tbs/tfda wakutembelee
 
In fact ni kweli, utakuwa hatiani kisheria. Tena haswa, wahusika wa bidhaa hizo utakazo zitumia, wakapata taarifa juu ya hiko unachokifanya, then wakaamua kula sahani moja na wewe kisheria.

Mind you kwenye biashara, kuna vifungu vya utamburisho wa umiliki wa bidhaa husika. Normally vifungu hivyo vinasimamiwa na mamlaka fulani, katika nchi husika. Mfano kwa hapa Tanzania, tuna Brela....

Be carefully.
Yani mfano umefunga sukari ya kilo 1 au nusu kwenye vifungashio quality, utashitakiwa.?!
 
Yani mfano umefunga sukari ya kilo 1 au nusu kwenye vifungashio quality, utashitakiwa.?!
hapa kuna utata.
ila nadhani kwa bidhaa zinazozalishwa bila kufuata utaratibu wa kisheria, hazina trademark, hazina vibali halali, sinatengenezwa kienyeji nadhani hapo tutakuwa safe.

maana nimesoma mahala kuwa '' repackaging '' nayo ni strategy nzuri ya kututoa
 
Usiogope kama unazungumzia bidhaa za masokoni huko kama vyakula hakuna wa kukushika, mfano umekuta dagaa ukaamua kuziweka kwenye vifungashio na kuziongezea ubora nani atakushtaki sasa?
 
Back
Top Bottom