Recent content by Ackhery

  1. A

    JamiiForums Tanzania Usaidizi wa kupata till za uwakala (M-Pesa)

    Habari wapendwa, Poleni na majukumu Kuna mwenzangu alifanya maombi ya uwakala wa M-pesa, na hatua zote alishazifanya ikawa katika harakati za kupatiwa till number yule alokuwa anahusika kuunganisha swala Hilo akafariki(wakala mkuu wa eneo Hilo) na meneger hapatikani Kwa simu. je kunaweza kuwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Je hiki kinaashilia nini kwa nguruwe?

  3. A

    JamiiForums Tanzania Je hiki kinaashilia nini kwa nguruwe?

    Kwahyo tuiitaje
  4. A

    JamiiForums Tanzania Je hiki kinaashilia nini kwa nguruwe?

    Ahsante sana
  5. A

    JamiiForums Tanzania Je hiki kinaashilia nini kwa nguruwe?

    Habar natumaini mu wazima Nguruwe wangu anatoa ute mweupe sehemu yake ya Uke Kiumri ana miezi 8. Naomba kujua hiki kinaashiria nini? NB:hajawahi kupandwa wala kubeba mimba
  6. A

    JamiiForums Tanzania Miezi miwili hajapata hedhi, amepima hana ujauzito

    kwa watu wengine n kawaida kwasababu huwa inabadilika na kurudi Ila apunguze stress Afanye mazoezi ya wastani Ale mlo mzuri Lakini pia mazingira huwa ni changamoto kwa watu wengine na kupelekea kusimama/kusuasua kwa hedhi/hormonal imbalance
  7. A

    JamiiForums Tanzania Miezi miwili hajapata hedhi, amepima hana ujauzito

    Kuna njia yoyote ya uzazi wa mpango anayotumia au alitumia? Ulaji wake ukoje? Hajabadilishapo mazingira
  8. A

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini starehe nyingi ni dhambi?

    vitu vingi ni dhambi kwasababu vinakupelekea kufanya dhambi. yaan bila hivyo vitu hutendi dhambi na vipo ili kupima imani zetu !!!
  9. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utamfanyaje mwanamke anayekuambia ana mimba wakati hana?

    hiyo issue kama naipata hiv huyo mwanamke alikuwa anafanya hivo kusud apate pesa na mlikua mnakutana kimapenzi sehem akija kuwasalimia ndg zake na tangia hapo hamjakutana tena zaid ya kuwasiliana na kila unapo wasiliana alikua anakwambia anamimba yako Na kuna mpango yy aliupanga kwamba baada...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Fahamu dawa ya PrEP na inatumika vipi kuepuka maambukizi ya VVU

    kwani huyo aliyeathirika hahitaji mwenza/au wa kushiriki nae tendo hata hivyo siyo kujidunga bali waweza kunywa pia Coz tunakutana na wapenzi wengi lakini hatujuani usalama wa kiafya kwa kila mmoja Hivyo yatupasa kuwa makini!!! Kabla ya kushiriki tendo
  11. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania She (Bi. Kasinde) Close her 2021 Awaiting 2022 New Life....

    Happy new life kasinde motoo matata Just keep it up on smiling in your marriage Best wishes
  12. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu wanawake tunaowahonga

    Maana yake pale Kaz yake n kutoa mbususu na kupata chake🤑 haijalish kafurahia🤣 au hajafurahia😩. starehe hizi dah😃
  13. A

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la kutoa hewa chafu kila baada ya dakika mbili au tatu naombeni msaada

    Itakua unavidonda vya tumbo kapime hivyo.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua njia za asili za kupunguza gesi tumboni

    Jaribu kulamba au kuchemsha magadi unywe
  15. A

    JamiiForums Tanzania Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    Fuata tu maelezo mfano kuna sehemu ktk hiyo namba ya mtihani ustumie nukta mf. S9999.9999 badala yake tumia hiv S9999-9999
Back
Top Bottom