Recent content by ackerman

  1. ackerman

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Kutekwa kwa Djumbe ni Michezo na haijaanza Jana

    nani sasa mwenye jukumu la kukomesha hiyo michezo???? Inasikitisha sana sometime ni bora wakanyamaza tu
  2. ackerman

    JamiiForums Tanzania Pastor Neema anaeleza kwa uwazi matumizi ya sadaka zinazotolewa kanisani, Nini maoni yako?

    Pastor??? Why mwanamke anakuwa pastor???
  3. ackerman

    JamiiForums Tanzania Nadra sana kukuta mwanamke mwenye miaka zaidi ya 30 hajaolewa halafu akawa "wife material"

    Mwandishi kwa namna ulivyoandika inaonesha kiupaumbele cha jamii yako ni kuoa na kuolewa
  4. ackerman

    JamiiForums Tanzania Kutafuta utajiri

    Utajiri ungekuwa unatafutwa namna hiyo basi watu wengi wangekuwa matajiri
  5. ackerman

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaofanya kazi kwa bidii bado wanakufa maskini?

    Thank you for this knowledge
  6. ackerman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Cristian Ronaldo ndani ya Man U

    CR7 kwa Sasa Hana naajabu
  7. ackerman

    JamiiForums Tanzania Je, ukipewa shilingi milioni 1, itakutosha katika biashara yako?

    Iyo pesa Ni nying Sana
  8. ackerman

    JamiiForums Tanzania Nimsaidiaje huyu best yangu anayefilisiwa na Forex?

    Naomba unitumie ivyo vitabu kwenye email walipendwa@gmail.com
  9. ackerman

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanza kucheza FOREX baada ya kukosa mtaji vipi hii ni kamali?

    Soma vitabu kwanza ndio ufikirie kucheza forex
  10. ackerman

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi sana ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko Membe kuwa Rais wa JMT

    Membe anawapa tabu Sana eeeeeh
  11. ackerman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeachana rasmi kubet football nimehamia basketball bet napiga pesa tu

    Tupe mkeka wa Leo mkuu tupige pesa
  12. ackerman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeachana rasmi kubet football nimehamia basketball bet napiga pesa tu

    Tupe uzoefu tupige pesa mkuu
  13. ackerman

    JamiiForums Tanzania Hivi watanzania mna nini lakini ? Haya hawa wengine "questra holdings"

    Vijana tumekuwa wavivu wa kufikili sana eti unatoa 234000 afu faida yako kwa wiki ni 10400 ebu tuweni unafikilia basi coz kwa Uo mtaji kwa wiki unaweza kuzalisha pesa zaidi ya iyo elfu kumi
  14. ackerman

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Forex ya Ontario

    Kwa mawazo aya kazi ipo
Back
Top Bottom