Recent content by achumani

  1. A

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Kwa hiyo wazee wa kushusha muvi usiku hatuna chetu tena?
  2. A

    Ripoti ya CAG imefichua madudu mengi ya awamu ya tano, kulikuwa na ufisadi wa kutisha

    Hivi mtetezi wa wanyonge kwa kisukuma ni magufuli eti eeeeeea?
  3. A

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Kumekucha je tutaweza?
  4. A

    Yanga yakubali kichapo cha kwanza Ligi Kuu Tanzania Bara

    Kuna mtu alisema neno utopolo maana yake mume wangu so nawaza wanaume wanaoita yanga utopolo [emoji23][emoji2220]
  5. A

    Waraka wa wazi kwa Dkt. Kitima

    Kazi unayo mamaangu kazi unayo. Sina hakika kama kuna kitu katikati ya masikio yako sina hakika
  6. A

    Vita dhidi ya Corona: Rais Magufuli anaanza Marais wengine wanafuata

    Sio wote katikati ya masikio yao hamna kitu ka huyo wako
  7. A

    Megastructures mlizozipinga zimeibadili taswira ya Tanzania, mlikurupuka kumkosoa Rais Magufuli

    Haya na huku mlikokusahau hata lami hatuna toka uhuru bado tumsifie. Masasi to nachingwea
  8. A

    Wizara ya Habari: Bidhaa za kigeni ziandikwe kwa Kiswahili

    Nasubiri toyota itakavyoandikwa kwa kiswahili
  9. A

    Waziri Gwajima afafanua dawa ya asili ya Corona (NIMRCAF), waweza itengeneza mwenyewe nyumbani

    Wao wanaagiza za wazungu sisi wanatuhimiza tutumie za kienyeji na tunakubali kweli sisi mazwazwa
  10. A

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Yaani tumishiwa namna hii dah
  11. A

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Zidane must go
Back
Top Bottom