mwangalizi
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 842
- 513
Subiri uteuzi sasa, maana moto wa jihanamu umekwisha jisajili.
"HOFU" ni kuhusu COVID-19 pekee; mbona kila siku wananchi wa kawaida tu na hasa wapinzani wa mawazo ya mtu mmoja wana "HOFU"?HOFU NI UGONJWA MWINGINE MKUBWA KULIKO COVID-19.
Lakini umepata muda wa kusoma andiko lake lote?Huyu atakuwa MATAGA anayejua kuandika.
Ninakubaliana na mengine uliyoandika huko juu, lakini siyo hili hapa.lako real na sio fake ID hapa jukwaani,weka email yako! Ndipo hapo uone moto wa Kitima! Sasa unamjibu Kitima kwa jina fake?? Kitima kahudumu Saut zaidi ya miaka 10,wanafunzi 168 kufariki nikawaida sana,tofauti na Mapadiri 20 ndani ya miezi 2!
Mamlaka zote zinatoka kwa Mungu , sawa lakini unafafanuaje mamlaka ya Idd Amin huko Uganda, Bokassa huko Afrika ya Kati, Hitler Wa ujerumani nk. Pale ambapo utawala unaenda kinyume na mapenzi ya Mungu unapoteza uhalali Wa kumuwakilisha Mugu kwa watawaliwa na hivyo utawala huo unamtumikia yule mwovu shetani.Wewe ni muongo mkubwa kwenye takwimu za vifo vya hao wanafunzi.
Mapadri 25!Unaposema kipindi chake chote hapo SAUT unaongelea kipindi cha muda gani, maana juzi ameongelea kipindi cha miezi 2, Maaskofu 25 masister na manesi 60 wamefariki, jumla ni uhai wa watu 85, kweli idadi yote hiyo ya vifo kwa kipindi cha miezi miwili hamutaki mtu aongee kwa mashaka?
Tuna shida mahali fulani, tena shida kubwa tu.
Nadhani tatizo kubwa ni kutoelewa hoja kimantiki. Hoja ya Dk. Kitima iko wazi sana, katika hili la corona serikali imekwepa au imezembea wajibu wake! Hivi wewe ni kipofu au kiziwi? Hujaona serikali inavyowafitinisha mpaka mapadri wenyewe kwa wenyewe kwenye hili la corona? Mnajitoa akili mno mpaka mnageuka kuwa aibu tupu!Na Mimi alichonishangaza Doctor huyu ni kuelekeza lawama kwa serikali na wakati huohuo kuwa kipofu wa wajibu wake na wa kanisa!..
Umeandika mambo mengi, lakini hoja yako kuu ni moja tu. Hamtaki kusikia mawazo tofauti na yale mnayo yapenda nyinyi. Hii nchi siyo mali yenu. Waacheni watu waongee!! Khaa
Unahoji kama huyo Padre anatii mamlaka!! Mamlaka gani? Mbona hata nyinyi tulio wapa hayo mamlaka hamtutii? Zaidi tu ya kutukejeli na kutusimanga?
Nini ambacho hujaelewa kwenye hoja yangu?Nadhani tatizo kubwa ni kutoelewa hoja kimantiki. Hoja ya Dk. Kitima iko wazi sana, katika hili la corona serikali imekwepa au imezembea wajibu wake! Hivi wewe ni kipofu au kiziwi? Hujaona serikali inavyowafitinisha mpaka mapadri wenyewe kwa wenyewe kwenye hili la corona? Mnajitoa akili mno mpaka mnageuka kuwa aibu tupu!