Naamini hutumii sana akili kufikiri mkuu, yawezekana unajitia kujua usiyoyajua na hiyo ni hatari sana kwako. Uliza kabla hujaleta mambo uliyokaririshwa darasani
Ulitamani kutuma ujumbe gani? Ninachofikiri mimi wewe unaongea kwaniaba yako mwenyewe na kama unafikiri mzumbe ni wazembe basi wewe ulitakiwa ujue kwamba ni klinara kuliko wao na pia kwamba sua kuna watu wanajua wanachokifanya kuliko wewe
It is very easy to know who have gone to school and those who returned home educated... Very simple, they all have simple answers on difficult questions and very often the do not know what they say. If I bother to ask, what did you want to mean, I still find it contradicting!!
Hapo cha kuongeza tu kuwa wananchi wanakuwa waoga wakiamini kuwa jimbo likitawaliwa na chama pinzani halitapata maendeleo maana uongozi wa serikali hautatoa pesa. Huu ni mtizamo mfu sana maana hata hiyo serikali haina pesa, pesa wanazo wananchi ndo wanaolipa kodi. Kupitia kuwaelimisha na kwa...
Naweza kukisoma hicho kitabu ili nione jinsi watu wanavyoweza kuwa na elimu kubwa bado wakashindwa kuzilinda na kusimamia taaluma zao... labda ningependa kujua aliyefadhili uandishi huo alikuwa nani, pia kuwatoza pesa wananchi ambao wanakabiliwa na majukumu mengi wakati hizo pesa za kuandikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.