Mtanzania: CHADEMA yajichulia kifo

Mtanzania: CHADEMA yajichulia kifo

Mkuu Waberoya

Nakumbuka miaka ya nyuma humu jamvini ulikuwa unawapa sana ushauri Chadema walikuwa wanakutukana sana, lakini leo wanakumbuka ushauri wako jua limezama.

Haa haa

Pamoja sana mkuu

acha CCM mtutambie nchi hii.....sijui lini watatokea wapinzani wa ukweli.
 
1.jpg

WANATAKA KUTONGANA MANGUMI HAPA

Hofu ya kushindwa uenyekiti
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    15.6 KB · Views: 53
Kwa hali ilivyo tusubiri kusikia wapiga kura mwaka 2015 ni 10% ya waliojiandikisha kupiga kura. Kwa sababu watanzania wengi wanapenda mabadiliko ila hakuna chama kilichotayari kua mbadala wa Ccm. Watu wengi watakata tamaa na kususia kura
 
Na ccm itakufaje kama cdm wanaoza. Lazima chama cha upinzani kiwa hai ndipo chama cha utawala kitakufa. Sasa nani wa kukiua. Mfu hawezi kuuua labda uamini kwenye mazingra.

Watapatikana wazuri tu kama ufisadi na rushwa vikitokomezwaa
 
Hapo Hamna cha wasomi wala nini, hizo ni ndoto za MaCCM na magazeti yao!! Za Allynacha!!
CDM haifi Bali inazidi kustawi, hatuwezi kuvumilia watu watovu wa nidhamu, tena wanasaliti chama, wakakimbilia mahakani eti CHADEMA itakufa???
Wishfull thinking!!
Uamuzi wa Chama hakuna kumpa ushirikiano msaliti!!
Chama kinazidi kuimalika, huwezi kushirikiana MaCCM kuhujumu eti uachwe!!
Poleni saana!!
CDM ni tumaini la Wanyonge TZ ,ukitaka kuhujumu chama unachukuliwa hatua!!!
Mbinu za MaCCM zimefail!!
 
ukitaka kujua msimamo wa mtu mnafiki mpe nafasi ya kuongea.eti katika mgogoro huu hakuna mshindi,kwa mantiki hiyo wanamaanisha kuwa kamatikuu ya cdm kwa upande mmoja wanalingana nguvu na zitto kama upande mwingine wa mgogoro.they should know better than this.cdm si sawa na ccm ambao wote wamezidiwa na mapacha wawili vijsenti na EL.
 
Tunatakiwa tujiulize kwa nini Chama kilochopo madarakani kinataka Chama kikuu cha Upinzani Kife! Ili kuwe na maendeleo lazima Vyama vya upinzani viwepo ili kukirudisha Chama tawala kwenye mstari.

Wana Great thinker, tuangalie hili jambo kwa mapana zaidi na sio ushabiki tu. Nawakilisha
 
Kwa hali ilivyo tusubiri kusikia wapiga kura mwaka 2015 ni 10% ya waliojiandikisha kupiga kura. Kwa sababu watanzania wengi wanapenda mabadiliko ila hakuna chama kilichotayari kua mbadala wa Ccm. Watu wengi watakata tamaa na kususia kura

huo ukwel mkuu radha ya mabadiliko hakuna. wasipoelewa sasa wataelewa baadae
 
Chama kimekufa hiki
Ha ha ha ha haha ccm baa mnahangaika na chama kilichokufa mnagharamia mamilioni kuhonga na kutengeza kesi mara sijui nani kapigwa mara cjui nani gaidi .............
 
Ha ha ha ha haha ccm baa mnahangaika na chama kilichokufa mnagharamia mamilioni kuhonga na kutengeza kesi mara sijui nani kapigwa mara cjui nani gaidi .............
Acha kuweweseka wewe. Chadema ni magaidi, wauwaji
 
wanasema hata kichaa anaona watu wote ni vichaa isipokuwa yeye wakati yeye ndo kichaa ccm wanashindwa hata kusoma nyakati ccm imeshakufa inasubiri maziko 2015 chadema kitadumu milele kwa uwezo wa Mungu..
 
Kwa hali ilivyo tusubiri kusikia wapiga kura mwaka 2015 ni 10% ya waliojiandikisha kupiga kura. Kwa sababu watanzania wengi wanapenda mabadiliko ila hakuna chama kilichotayari kua mbadala wa Ccm. Watu wengi watakata tamaa na kususia kura

Mimi ni mmoja wapo wa hiyo asilimia kubwa ya Wapiga kura itakayobakia majumbani siku ya uchaguzi 2015 labda nitamchagua Mbunge na Diwani tu tena hawatatoka CCM.
 
Askofu Mstaafu wa Kanisa la Anglikana anayetoka Mkoa wa Kigoma, Dk. Gerald Mpango, ambaye amekuwa mpenzi mkubwa wa siasa za mageuzi na ameshiriki mikakati mingi ya kuijenga Chadema, amesikika akisema kuwa hatua ya kumtoa Zitto haitakiacha salama chama hicho, licha ya kuwahi kufanya hivyo kwa Kafulila na Dr. Kabourou

Ritz huyu Zitto mbona anatetewa na Askofu? Atakuwa KAFIRI tu.

CC: THE BIG SHOW
 
Last edited by a moderator:
Wasomi mnaowasemea si ndo hao waliolifikisha taifa hapa lilipo tokea tupate UHURU zaidi ya miaka 50 au ni wasomi gani wanaosemewa? This is completely nonesence

Sio nonesence ni nonesense bwana mzee. Jifunze kuandika lugha uliyoizoea
 
Back
Top Bottom