Recent content by acha matata

  1. acha matata

    Uzi maalum wa kupeana mawazo ya biashara

    Ajabu nikwamba mkiwekeza hadi drip irrigation, gharama ya uwekezaji inaweza kurudi ndani ya miaka miwili kwakuzalisha mazao mengine
  2. acha matata

    Uzi maalum wa kupeana mawazo ya biashara

    Nadhani uzi nimzuri. Hapa kuna biashara ya msimu na biashara ambayo ungependa baada ya miaka 3 hadi 5 uko financially stable. Hii ndio nitatolea wazo. Kuna kilimo cha parachichi kwaajili ya masoko ya nje. Mnaungana kwenye group la watu kama 10 ili muwekeze angalau akari 50 hadi 100...
  3. acha matata

    Kwa watumiaji wa supu ya kongoro someni hapa

    Tatizo la wembe ni nini?
  4. acha matata

    Tunafanya kila kitu kasoro mapenzi, au hana hisia?

    Piga za hewani mbele yake utamwona kama ni mtu au la
  5. acha matata

    Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    Sijasikia mtu anayepanda mitiki hasa hasa maeneo ya morogoro. Au hamjasikia fursa upande huu?
  6. acha matata

    Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    It's a clayz business. Sisemi kwamba haipo, ila vigezo vyake nivigumu kwamtu wakawaida kupata I can simply say.
  7. acha matata

    Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    Kuna upcoming tree investors meeting/training in the southerh highland regions of Tanzania (Iringa). You will be exposed to a lit of things guys
  8. acha matata

    Uchambuzi wa habari: CUF sio tu imefanya kosa, imefanya kosa kubwa kisiasa

    Nime-withdraw hata kile kiheshima kidogo nilichokuwa nakupa maana umeandika pumba kupindukia.
  9. acha matata

    Wanaume wa mkoani

    Hivi Dar sio mkoa ni nini?
  10. acha matata

    Ufugaji wa kisasa wa Nyuki: Faida, Utaalam na Masoko

    Idadi ya mizinga inategemea upatikanaji wa maua na maji. Hivyo ni very critical. Kama hivyo sio tatizo, unaweza kuwa na mizinga.kati ya 100-200 kutegemeana na jinsi unavyoitundika. Njia ya vichanja inabeba mizinga.mingi zaidi. Kuhusu kujua kama mizinga.imejaa, ni suala la calendar.
Back
Top Bottom