X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,790
- 15,016
Umejianda..kuitwa baba...maana...usije ukatulilia tukusaidie ujauzito utakapompa kiburi
..........Kwanini usisome tu mkuu, unaharakia nini?
We jifanyanye kama hutaki tu hilo tendo, akiwa tayali atakupa.
Ipo hiyo kama demu hataki nakwambia hugusi!awapi ulale nae usiku mzima ? aiibu asee 🙁
Wewe hebu ficha ujinga wango wingu zito likupige uwe mjinga zaid ya hapo, wewe kitulize bado mtoto 🙁
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aseee mkuu we mafiaWe huyo demu anakupenda ila anainjoy kukutesa na uchu wako, wanawake wana akili mno za kuteka hisia zetu. Hapo anatamani akupe ila unamkata handasi na uchu wako maana umeonesha unaitaka sanaaa! Umempa power na atakutesea hapo tu.
Cha msingi mpotezee na mkwepe kwa week 1 hivi, kata mawasiliano nae kuwa busy na mambo yako, lazma atakumiss sana kama kakuzoea upo karibu yake.Atahisi kabisa umemaindi alivyokufanyia upumbavu wa kukunyima siku zote hizo.
Lastly hatakuwa na ujanja zaidi ya kuleta shobo kujifanya anataka kujua kwanini umemkatia moto ghafla na ameumia sana na hio ndio chance ya kuhakikisha unamla.
Mwambie akufate muongee ukiwa tayari upo eneo la tukio i.e geto et al. Msikilize kidogo atakapoanza kutia huruma tu we act kama umemaindi "Tuongee nini sasa akat unajua mi nko mistari, istoshe sijafagilia ule mchongo wako kabisa recho,mda mwengine tuwe watu wazima bhana" huku unaanza kumsaula hapo hapo unaruka nae!!!