lovebitelol
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 964
- 972
Haya wanaume wa mkoani mna nini cha kusema kuhusiana na hii picha?
Hivi majuzi mlikuja hapa jukwaani na kashfa kibao mkisema wanaume wa dar wakija kwenye mazishi hawawezi hata kufukia kaburi.
Kimsingi hapa mmeonyesha udhaifu mkubwa mno.