Recent content by Academiaz Soft

  1. A

    JamiiForums Tanzania Je, baba afanyaje ili watoto wake wafanane na yeye tu?

    Duh..pole sana mkuu...amini tu kuwa ni wanao. Usipime dna. Just walee.What if ukawapima na ukakuta ni wako??? Halaf hawa wapimaji pia unadhan wanataka kuvunja ndoa za watu??hata kama sio waka watasema ni wa kwako tu.Labda iwe special case sanaa
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Lusekelo "Mzee wa Upako" alia na uhaba wa sadaka

    Tena huwa kitu kqma chanel 10 huwa anaonekana ambayo ni tv ya ccm kwa sasa.Aombe tu free airtime kama kada
  3. A

    JamiiForums Tanzania Taarifa: Mwili umeokotwa Bunju B

    Sijakuelewa mzazi
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kagame yamkuta ya kumkuta, salamu kwa koloni lake huko kwa malofa

    Ahahaha.Maana sijawahi kuona umekaa kimya mahali anapoguswa kagame au rwanda humu ndani.nikajua onhooo...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kagame yamkuta ya kumkuta, salamu kwa koloni lake huko kwa malofa

    Shkamoo bi.ajuza
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kagame yamkuta ya kumkuta, salamu kwa koloni lake huko kwa malofa

    Ahahah.We mnyarwanda nakukubali sana mitazamo yako haiko biased kama yule gentacy nn cjui? Uko straight sana mkuu.Big up for the facts.Kagame hapo ndipo anawakwaza wenzake.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kagame yamkuta ya kumkuta, salamu kwa koloni lake huko kwa malofa

    Una maanisha na sisi tukiwemo,kwamba kagame nibkiranja wetu anatu report kwa cia??
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kagame yamkuta ya kumkuta, salamu kwa koloni lake huko kwa malofa

    Ofcz hapa ndio panazua maswal sana.Kwann wateule wake ndio haswa kila siku wanakua wa kwanza ku resist na kwemda against na jamaa?!???
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kagame yamkuta ya kumkuta, salamu kwa koloni lake huko kwa malofa

    Ofcz it pains kuona kitu ambacho umekitesekea na kukitaabikia wajinga wengine wanataka kuja kukivuruga kirahis rahis tu.Hawa ma dictator sometimes tunawalaumu bure tu.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Ubovu wa product ya Mo ukwaju

    Sasa mkuu kama upo sigimbi unawapataje walo clasic uwasage???
  11. A

    JamiiForums Tanzania Nini hasa kinawapumbaza waajiriwa?

    Duh.Kerege nayo ndio wapi iko hiyo??
  12. A

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa Tanzania wengi ni Maskini. Nimeona kwa jamaa zangu

    Breki ya Kenge lazima aje kulalamika hapa umemtukana
  13. A

    JamiiForums Tanzania Mshumaa: Ngoma mpya ya Ali Kiba ni fire

    Achana nae huyu hakuna anachojua zaid ya midundo na mashairi sijui hit song n.k lakin how hiz mambo zinaingiza pesa hajui lolote.Yy hajiuliz tubkwann mpaka leo ronaldo na messi wanapasua vichwa watu?!zile ni business planns.kiba kukubal kushirik wasaf festival ina business impact kubwa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mshumaa: Ngoma mpya ya Ali Kiba ni fire

    Kwa heshima niliyonayo kwako halaf na comment uloweka hapa ujue unaniweka njia panda mkuu nisijue niseme nn!!?
  15. A

    JamiiForums Tanzania Mshumaa: Ngoma mpya ya Ali Kiba ni fire

    Mkuu una maanisha ww ni TIGO ya kiba.Anajipigia tu muda wote ???
Back
Top Bottom