SawaSimfahamu mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukiwa unamgegeda mkeo unapotoa wazungu jiangaliage kwenye koo
Maisha yenyew magum[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yann kujitesa mkuu kumbuka anaye umia sana ni wewe unaweza kuta labda mkeo amezoea maisha ya kuwa na mchepuko ila ww unafanya kumkomoa total atakayeumia ni ww kuliko yeye maana atapata point ya kuwa huru zaidi ukimwambia ivi naye anajibu mbona wewe unaye, angali mkuu usije uwa mtu mbeleniSifi kwa kujinyonga wala bp,Mimi mwenyewe nina kipozeo nje
Ndoa sio gereza Acha ubwege toka njeWa kwako sio mwaminifu 50% ,ulivyo bwege utaona wa kwako ana afadhali
Haahahahah haahahahahah nmecheka sana hapo kumbe wote ngoma dropSifi kwa kujinyonga wala bp,Mimi mwenyewe nina kipozeo nje
nadhani lengo lako si kutaka wafanane nawe sababu wameshazaliwa, lengo lako ni kujua kama ni wako, achana na DNA hakuna majibu watakayosema wewe si baba yao sababu wanaangalia sana matokeo ya kukuambia ukweli kuliko ukweli wenyewe.
Ni rahisi sana kujua kama ni wa kwako, subiri wanao wakifikisha miaka miwili jaribu hii njia: Kwa kawaida mtoto akifanya kosa ukamchapa viboko kama ni wa kwako atakimbilia ndani hata kama mama yake hayupo ndani, ukikafuata
kanakimbilia chumbani kakichoka kanakuangukia miguuni.
Lakini kama siyo wa kwako ukimchapa lazima akimbilie nje na kakiwa kanalia hakaiti baba. Ukiona hivyo unakachapa viboko kanakimbilia nje hadi mtaani huko jua wazi hapo unalelea mwanaume mwenzio. Achana na DNA.
Apo chacha?! Basi tumuambie kuwa wakati wa kufika kileleni, asifunge macho wala kutoa mguno i.e. full concentration - hapo mtoto lazima afanane nae tu!😲😲😲😲 Kwani uliambiwa ni photocopy machine
Labda anajijua kua na yeye sio muaminifu. Kama Mbwai, Mbwai...Kama siyo mwaminifu na unalijua hilo, kwa nini uko naye? Labda unastahili unachokipata!