Ni Mwalimu wa Biology & Geography naomba msaada kwa wale walimu ambao wanang'atuka kutoka private school to government school kama walikuwa wanafundisha masomo yaliyotajwa hapo juu naomba tuwasiliane ili aniachie nafasi mawasiliano yangu 0655724443
NHIF huwa inatoa huduma kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kwa gharama ya 50,400 kwa mwaka lakini katika Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Mwenge (Mwenge Catholic University- MWECAU) kilichopo Moshi imekuwa ikitoa huduma hii tofauti.
Wanafunzi wanalipa 50,400, wanajaza form ya mkataba mwa mwaka lakini...
NHIF pia inatoa huduma kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kwa gharama ya 50,400 kwa mwaka lakini
Katika chuo kikuu cha kikatoliki cha mwenge (Mwenge catholic university MWECAU) kilichipo moshi imekuwa ikitoa huduma hii tofauti wanafunzi analipa 50,400 wanajaza form ya mkataba mwa mwaka
Vitambulisho...
Ninakijana wangu amepangiwa chule ya maposeni Songea (kidato cha sita) kwenye mchepuo wa sanaa na yeye amefaulu mchempuo wa sayansi na hiyo shule haina mchepuo wa sayansi hivyo naombeni msaada jinsi ya kumhamisha aende shule yenye mchepuo wa sayansi kabla ya kuripot shule hiyo ya maposeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.