Abuu Usama
Member
- Jun 26, 2016
- 11
- 1
NHIF pia inatoa huduma kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kwa gharama ya 50,400 kwa mwaka lakini
Katika chuo kikuu cha kikatoliki cha mwenge (Mwenge catholic university MWECAU) kilichipo moshi imekuwa ikitoa huduma hii tofauti wanafunzi analipa 50,400 wanajaza form ya mkataba mwa mwaka
Vitambulisho vyake vinatengenezwa tofauti na mkataba, vitambulisho hivi vinaosha ni miezi mitano tu
Baada ya juhudi za hapa na pale kuwajulisha kuhusu hili tatizo wahusika walijibu hawako teyali kubadisha tarehe hizo
Hata hivyo wanafunzi wamesusia kuvichukua vitambulisho hivyo vya NHIF
Baada ya kusumbuliwa na wanafunzi wahusika hao waliahidi kufika chuoni kuongea na wanafunzi hao lakini Tangu mwezi wa Tano hadi leo hawakufika na vitambulisho vipo kwao
Je, hii ni sawaaa?