Recent content by Abuu Talaal

  1. Abuu Talaal

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mdada pisi kali, anatembea na mwanaume mwenye muonekano wa kienyeji?

    kama mimi kwel ata perfume siijui..😅
  2. Abuu Talaal

    JamiiForums Tanzania Nakuwa muwazi. Nashukuru, nilisaidiwa kumpata wa kunioa na rafiki yake mama

    ilishawai kuwa na o level alaf sio miaka ya nyuma sana
  3. Abuu Talaal

    JamiiForums Tanzania Historia ya mkoa wa Tanga

  4. Abuu Talaal

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna nyimbo nadhani inaitwa jasmini wanaimba hivi "jamsin toto la kishua, nimekuzimia naja kwako nipokeee,jasmin mim masikini wa hali duni......"alaf kuna sehem wanaimba "wenye maneno usiwaskilize matajiri hawana mapenz jasmin....." Nimeitafuta toka mwaka 2009
  5. Abuu Talaal

    JamiiForums Tanzania Vurugu kubwa shule ya sekondari Lyamungo leo tarehe 1 March 2018. Shule yafungwa!

    Mlowola mwalimu wangu wa uchimi dadeq zake anajua sana had anaboa ila shedula hamna kitu
  6. Abuu Talaal

    JamiiForums Tanzania Vurugu kubwa shule ya sekondari Lyamungo leo tarehe 1 March 2018. Shule yafungwa!

    Alihamishiwa lyamungo toka mwaka 2015 na mwaka jana mwanzon akapewa usecond master baada ya malihai kuondoka na akapewa na ualimu wa nidhamu yan nishidah
  7. Abuu Talaal

    JamiiForums Tanzania Vurugu kubwa shule ya sekondari Lyamungo leo tarehe 1 March 2018. Shule yafungwa!

    Sahivi kuna ticha mwingine mnoko kuliko hao wote huyo( safar lasin ) sis tulimpa jina la Benteke
  8. Abuu Talaal

    JamiiForums Tanzania Diamond ajifunze kutoa Audio zinazoeleweka

    Kwel kila mtu na maskio yake mi naona nyimbo zake zote kali labda hiyo ya wakawaka ndo sijaikubali ila diamond fundi
  9. Abuu Talaal

    JamiiForums Tanzania Itifaki ikoje kati ya Mkuu wa Mkoa na Makamu wa Rais katika kufika sehemu?

    Rc ni M'mama tu kwa makamu wa rais
  10. Abuu Talaal

    JamiiForums Tanzania Sijavutiwa na muonekano wake ila anataka kunioa

    Nawewe uwe pini sasa usije ukasema hujavutiwa nae alaf we mwenyewe m'bovu
  11. Abuu Talaal

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

    Yupo sahihi kbs namuunga mkono kama unajiona umezaa maana yake umechagua kuwa mama yani umeukataa uanafunzi sasa kwann upewe nafasi nyingine? Ila private wanaruhusu kwahiyo kama umezaa fanya uende private...
  12. Abuu Talaal

    JamiiForums Tanzania Hivi weupe ndio urembo au?

    Hiyo ya uweupe ndo inayovutia zaidi
  13. Abuu Talaal

    JamiiForums Tanzania kat Ronaldo na messi una mkubal nan

    Cr7 habar nyingine usimfananishe na huyo Andunje
Back
Top Bottom