Recent content by Abuu Said

  1. Abuu Said

    JamiiForums Tanzania Hii ni moja ya kazi nzuri ya Hayati Magufuli

    Bado alisaidia na anahitaji kongole
  2. Abuu Said

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya uendeshaji wa mitambo -heavy equipment machine (dozer, grader, folk lift, crane)

    Mwl. Mkude baba flani hivi la kutisha umesoma Mechanical sio mwaka gani tufahamiane
  3. Abuu Said

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu uchawi na uganga

    Mimi ndio maana siwaamini Waganga wa kienyeji maana nao ni Wachawi
  4. Abuu Said

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kilimo cha Pilipili Kichaa (Dhahabu nyekundu) kinavyonipa pesa bila kutarajia

    Asante kwa kunifumbua sikujuaga km hizi pilipili kichaa zina thamani kiasi hiki
  5. Abuu Said

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanye nini? Nataka mume wangu aumie kama ninavyoumia mimi

    Pole sana unazidi kujitia Shimoni badala ya kutatua tatizo la mumeo kuchepuka wewe unaongeza tatizo kwa kuchepuka kisa kumkomoa mumeo
  6. Abuu Said

    JamiiForums Tanzania Tatizo la January ni mtu laini laini na legelege mno na mtu anayeingilika kirahisi

    Mama ampe Aweso azichanganye wizara hizi 2 kwa pamoja maana ndio mhimili mkubwa kwa wananchi wa hadhi zote
  7. Abuu Said

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TFF yaachana na Kim Poulsen

    Afadhali mimi binafsi sikuwahi kumkubali huyu kocha
  8. Abuu Said

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

    Kugongewa ni siri ya ndani
  9. Abuu Said

    JamiiForums Tanzania Korogwe: Gari ya marehemu imetelekezwa barabarani

    Mara nyingi najua inapotokea ajali Polisi hufika eneo la tukio ilikuaje hapo kwahiyo polisi hawana taarifa yoyote kuhusu hiyo ajali?
  10. Abuu Said

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume ukatili umezidi, unapigaje mwanamke mjamzito

    Mwanamke akiwa mja mzito kaa nae mbali unaweza kuja kuua wanakuaga na jeuri na ukiburi uliopitiliza Mimba hua zina wachanganya sana
  11. Abuu Said

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweni moto unawaka baba mkwe kaniita, naombeni ushauri

    Komaa hapohapo kwenye M1 inatosha na kwa kuwa ushamtia mimba tulia wewe sema sina uwezo wa hiyo M7
  12. Abuu Said

    JamiiForums Tanzania Kabul: Watu 21 wafariki kwa mlipuko ndani ya Msikiti

    IS ni mamluki wa kislaam wanaoongozwa na nchi za Magharibi kuuchafua uislaam
  13. Abuu Said

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wake zetu msilalamike kuwa tunachepuka, ninyi ndio mnasababisha

    Ongeza mke ndugu utanishukuru
  14. Abuu Said

    JamiiForums Tanzania Nilivyoumbuka kwenye swimming pool

    Ilinikuta hii waterin wild kule kunduchi nikaona hiki kibwawa kidogo si naweza ku dive nikaruka juu na kutua ndani ya swimming laa haula maji yale yaliniyumbishaa mbilindembilinde nikafanikiwa kuyazibiti mpaka leo naogopa mpaka vi swimming
Back
Top Bottom