Recent content by Abuu Saad

  1. A

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    MNAFUNDISHANA USHIRIKINA ,ALAFU MNAWATAKA MASHEHE KWENYE UZI HUO?
  2. A

    Mama mkwe kajichimbia naona shida kumtoa

    JITAHIDI SANA KUKWEPA HALI YA MAUMIVU YA MOYONI ,ANZA KUONA NI KAWAIDA ,UTAZOEA TU NA THEN UTAKUWA HAPPY SANA...USIUMIE KWA GHARAMA UNAZOZITUMIA MOYO WAKO UHISI FARAJA KWA KUAMINI KUWA UNAMSAIDIA MTU MWENYE KUHITAJIA MSAADA,MKUU MIMI NATAMANI NIKAE NA WAKWE ZANGU NYUMBA MOJA LAKINI HAAJAWAHI...
  3. A

    Mama mkwe kajichimbia naona shida kumtoa

    STAREHE ZIPO NA SHIDA ZIPO,LAKINI MAMA MKWE KUENDELEA KUWEPO HAPO KWAKO NI ISHARA YA KWAMBA HUDUMA UNAZOZITOA NI NZURI NA BORA HATA HUKU AISHIPO HAZIPATI ,HONGERA KWA HILO...KILA LENYE KHERI NAWE LITAKUUDHI SANA HAPA DUNIANI,MREJEE MOLA WAKO KISHA KUWA MTU WA IBADA MUOMBE ALLAH AKUJAALIE SUBRA...
  4. A

    Mchungaji Daniel Mgogo usikengeuke , Jikite kwenye Mahubiri usikubali kutumiwa na CCM

    BAKWATA IKO CHINI YA SERIKALI NA HAINA SAUTI YA KUTETEA WAISLAMU,BAKWATA WAKO KIMASLAHI MFANO: BAKWATA WAMEJENGEWA OFISI NA MAKONDA,KWA LENGO LIPI? BAKWATA NA UISLAMU NA WAISLAMU NI VITU TAFAUTI MNO KILA KIMOJA KINA MAHALA PAKE
  5. A

    Mchungaji Daniel Mgogo usikengeuke , Jikite kwenye Mahubiri usikubali kutumiwa na CCM

    ukiwatazama waislamu wa leo hii na uislamu uliotajwa katika qur-an na hadith za mtume swala na salamu ziwe juu yake ni kama vile MASHARIKI NA MAGHRIBI ,KAZI YAO KUHUBIRI HABARI ZA KWENDA PEPONI PASI NA AMALI NJEMA... MFANO: JIULIZE WEWE NA NAFSI YAKO NI JAMBO GANI HASA UKIFA LEO HII...
  6. A

    Kwanini Iran inataka kuangamiza Taifa la Yemen?

    KUNA MAHUSIANO KIASI KIKUBWA KWA KUWA WANAOUA WATU YEMEN NI MASHIA AMBAO MZIZI WAO MKUU NI IRAN NA SAUDIA IMEINGILIA KATI KWA KUWA WATU WA SUNNAH WANAULIWA NA MASHIA... NYUMA YA MASHIA YUKO MMAREKANI NDIO MAANA HUONI YEMEN IKISEMWA POPOTE PALE ISIPOKUWA UN NA SAUDIA.
  7. A

    Kwanini Iran inataka kuangamiza Taifa la Yemen?

    HAIFAI KUSEMA JAMBO AMBALO HULIFAHAMU UNAKUWA UMEMZUSHIA MTU UONGO
  8. A

    Msaada TALLY ERP 9!!

    Habari wanaJF. Nafanya tally erp 9 configuration katika ishu zangu lakini NIMESHINDWA NA BADO SIJAFAHAMU NAMNA YA KUFIX NUMBER OF ITEM PER PAGE WAKATI WA KUPRINT. MAANA KUNA WAKATI INAPRINT ITEMS KUMI NA TISA KWA KARATASI MOJA LAKINI WAKATI MWINGINE ITEM ZAWEZA KUWA KUMI NA TANO ZIKAPRINT KWENYE...
  9. A

    Nina hamu sana Siku moja wanaokamatwa au kuhusishwa na Vitendo vya Kigaidia duniani nisikie wakiwa na Majina haya..

    Siku hizi, suala hili linaloeleweka vibaya ni miongoni mwa lililoenezwa mno kabisa kuhusu Uislamu. Lakini bado ndani ya Qur-aan, Muumba Anaeleza bila ya utata (tafsiri): {{Wala msiue nafsi ambayo Allaah amekataza (kuiua) isipokuwa kwa haki (Akahuhumu hakimu kuwa mtu huyo anastahiki kuuawa na...
  10. A

    Uamuzi wa Spika kwa CAG katika jicho la Prof. Albert Venn Dicey

    Hii NONDO YA KWANZA YA CAG KWA WATAKAO MUHOJI
  11. A

    Uamuzi wa Spika kwa CAG katika jicho la Prof. Albert Venn Dicey

    CAG AMEAMUA KUISHI NA TAALUMA YAKE KAMA PROF. NA SIO KAMA KITILA ACTCMM...
  12. A

    Spika Ndugai amtaka Prof. Assad(CAG) kufika mbele ya kamati ya maadili vinginevyo atapelekwa kwa pingu

    Profesa hajakosea POPOTE pale ISIPOKUWA bwana ndugai HAKUMUELEWA PROF. VIZURI. PROF KASEMA HIVI"KWANGU MIMI NAONA BUNGE LETU NI DHAIFU" YAANI NI MAONI YAKE ,NA HAKUMSHUTUMU MTU WALA KUMSEMA MTU KWA UBAYA ILA AMETOA MAONI YAKE KAMA RAIA WA NCHI YETU. IKIWA TUNAKUBALI KUWA KOSA LIPO BASI KOSA...
  13. A

    UPS yangu mpya haifanyi kazi

    Habari zenu ndugu zangu wa JF: NIMENUNUA UPS MPYA MIEZI KADHAA NYUMA ILI NIITUMIE KWA BAHATI MBAYA HAIKUWA HIVYO NA NILIAMUA KIHIFADHI NDANI IKIWA HATA BOX SIKUCHANANA,SASA NIMETOA KILA NIKIICONNECT HAITOI SIGNAL YEYOTE WALAU KUONESHA KAMA MOTO UNAINGIA AU LAA. TATIZO NINI NIELEWESHENI AU...
Back
Top Bottom