Recent content by abuu kigalu

  1. abuu kigalu

    Shilole akamilisha usajili mpya. Ajitokeza na mpenzi wake

    Dah noma sana msanii nguri na mfanyabiashara Mkubwa duniani
  2. abuu kigalu

    Bakhresa muogope Mungu wako. Uwiano wa hasara ni mkubwa kuliko faida

    Kuna muda ukiona unaanza kuchukia walio fanikiwa ujue ni tatizo na stress za maisha
  3. abuu kigalu

    Kuna kila dalili ya CCM kumburuza mahakamani Tundu Lissu, labda kudai fidia ya mabilioni

    Nikajua unaandika vitu vya maana kumbe mpiga zumari wa mtu sio maendeleo tunakazi kubwa sana kama taifa kufika nch ya ahaid maziwa na asali
  4. abuu kigalu

    Rais tengua uamuzi wako rudisha ajira za TRA Utumishi

    Tutaute hela hayo mambo ya kulia ajira ni kutokuwa na kazi za kufanya
  5. abuu kigalu

    Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

    Watanzania bwana ubongo watu huwa unawaza sana kujenga ndo akili huwa haufikilii kuongeza Kipato ndo ujenge utakuta mtu anakwambia mimi nikipata milion kumi najenga vyumba vyangu viwili utafikili akijenga ndo tayali amemaliza tayali yani Anapesa ya muendelezo wa kiuchumi pesa kama iyo ukipata...
  6. abuu kigalu

    Pata powertilla aina ya kubota na usafiri bure ndani ya Tanzania

    Mkuu ivi umepata spea za hiyo mashine yako hata mimi ninachangamoto ya spea kama umepata na mimi nijuze wapi au wapi nitapata Kama hutojali
  7. abuu kigalu

    Nimehesabu, Polisi walimpiga Hamza risasi 19 baada ya kuwa ameanguka chini na sio tishio tena kwa usalama

    Ok ni vizuri but how sure u r yule bwana Hamza alikuwa ameishiwa risas muda mwingine sio kuongea tu na kuandika kwa kuwa tuna uhuru uwo wa kueleza hisia zetu polisi ni ndugu zetu na baba na kaka zetu pia Wana moyo na pia ni binadamu kuwa kuwatolea au kikosoa muda wote haijengi sana but ni mtazamo tu
  8. abuu kigalu

    Biashara gani halali yenye faida ya haraka within 1 week return?

    Uza unga ndani ya wiki utapata litani ,but na huwa ndo Maisha ya mwendo kasi kupenda mafanikio ya haraka pia kuna kuuza mwili dubai na nch za kiarabu mapema tu mafanikio, but natania tu mkuu .
  9. abuu kigalu

    Kama Mbowe kabambikiziwa kesi, vipi wenzake 3?

    Mtoa mada naona umetumwa kuwaaminisha watu unacho kiamini wewe kwa maslahi yako na tumbo lako na aliye kutuma wananchi wanafahamu na tayali Watanzania wanajua na aliye wazindua ameshaenda zake usilazimishe watu waamini unachoamini wewe.
  10. abuu kigalu

    Kijana ajifunze lugha ipi kupanua goli la ajira na fursa?

    Ivi bado tu tunawaza utumwa baada ya kutafuta nyia za kutafuta ukipato nje ya utumwa wa ajira ! But ndo wasomi wa kitanzania na africa yani uanze tena kusoma lugha baada ya kutatua changamoto za jamii na kuoata pesa. Ukitatua changamoto za jamii utapata pesa tuache uvivu wa kuaminishana kwenye...
  11. abuu kigalu

    Nyuma ya Pazia - Mwigulu Nchemba

    Kweli ili uishi kwa amani na kuonekana mjuvi wa mambo lazima uwe mnafiki ivi jpm aliye kuwa tunamtukana leo kawa mfano mzuri na kukumbukwa kweli Asante. Unafiki na kujipendekeza ili mtu tuonekane wana falsafa wa kuandika au ujuaji mwingi .ukiona unaanza kulala Mika juu yaaisha yako wewe mwenyewe...
  12. abuu kigalu

    Kilo 1.2 ya heroin yawafikisha mahakamani

    Fundi wangu mshikaji wangu nilikuwa nikimpelekea spea za magari pale gereji kwake duu kweli Maisha ni sili nzito usione watu wanamaisha mazuri sana ukatamani
Back
Top Bottom