Recent content by abuu garcia

  1. abuu garcia

    Naweza tumia leseni ya udereva kuendesha gari huko Ulaya?

    Unaweza kuendesha kokote barani ulaya na America kasoro nchi chache za asia nchi nyingi nazani unaweza tumia leseni ya nchi yako ndani ya mwaka mmoja wa kukaa kwenye iyo nchi then utabadili kutokana na taratibu zao ila ukumbuke lazima uambatanishe na international driving permit kwa Tanzania...
  2. abuu garcia

    Nitatetea matambiko ya kimila kwa nguvu zangu zote hakuna wa kunipinga....

    Ndugu wananiona mshirikina ati nina ela ya dawa ila shida zikiwafika wanakimbilia kwangu apo ndo sielewa Ila ukweli siachi kutambika ata iweje
  3. abuu garcia

    Shabiki anatembea Mbeya kuja Dar kuishuhudia Simba na TP Mazembe

    Kuna saa nachukia mitazamo yatu sisi weusi sijui tuna laana gani sasa badala ya watu kumpa support ndo wanaanza kumuona anatafuta kiki. Angekua mzungu apo tungemuona bonge la mjanja embu acheni izo mambo bana kuna watu wamepita apa tz kwa miguu toka western country’s kwa miguu sasa uyu wetu...
  4. abuu garcia

    Inashangaza sana watu kulalamika ajira na pesa hakuna wakati mtaani mahitaji ya watu ni mengi sana

    Ukweli amna ujingi kama kua mtumwa wa mtu kuajiriwa ni sawa na utumwa yaana nisome miaka yoote iyo alafu nije kusubiria mshahara wa milion kwa mwezi aisee apana
  5. abuu garcia

    Lissu aanza kuchangiwa fedha na wananchi!

    Kwamfano tu kama nataka kumchangia lisu kwa upande wangu aitazidi laki sasa ndugu iyo laki ndo inaweza kusaidia jamaa zako wote wenye shida? Acha basi bana ina maana wewe ujawai kumnunulia mtu ata kinywaji au chakula? Mbona usiwape ndugu zako izo ela!
  6. abuu garcia

    Nipo safarini, maombi yenu ndugu zangu

    Ivi nini maana uu msemo Niko safarini niombee ili iweje? 🤷🏿‍♂️
  7. abuu garcia

    Ujerumani: Mtanzania afariki kwa kuchomwa sindano ya sumu kwa hiari

    Nilitaka kuuliza ili swali maana labda mimi ndo sijui au labda wameazisha ivi karibuni na je watu wanajua garama zake? Au kwa sabubu ni kifo mkafikiri ni bure!
  8. abuu garcia

    Ipo haja ya kupunguza idadi ya simba kwenye mbuga za wanyama

    There’s no jangili in this ni sisi binadam tumejiita jangili tuonekane kama sio sisi ni jangili Ila ukweli amna kiumbe mbaya kwenye ii dunia kama binadamu wikiongozwa na Westerners
  9. abuu garcia

    Ipo siku kutatokea vita nyingine kubwa duniani

    Hahahahaha! we jamaa unaonekana umekata tamaa na ii dunia
  10. abuu garcia

    Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

    Mwisho wa siku mtaelekezana kwa mganga aliye wasaidi acheni utapeli vijana fanyeni kazi
  11. abuu garcia

    Jokes za kwenye magroup ya whatsapp ziko lame sana.

    Aisee sizani kama kuna classmate wangu aliyeko hai ata kama wako hai sizani kama nitawakumbuka tena duh ni muda mrefu sana aisee
  12. abuu garcia

    Kwa mwenye ufahamu wa hawa ndege anisaidie

    Bata bikini!! Aya bana
  13. abuu garcia

    Rais Magufuli: Tunataka Tanzania iwe kama Ulaya

    Tukiwa kama ulaya nazani saa iyo ulaya wao watakua wameshaamia mars
  14. abuu garcia

    Mshahara wa mwezi wa Desemba 2018 umekatwa Tshs 30,000/-

    Ivi kweli mtu usome miaka yote iyo alafu aje kusubiria mshahara wa laki 2.5 kweli!! Aisee iyo kazi ilinishinda
Back
Top Bottom