Recent content by abusahim

  1. abusahim

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ataka Rais Magufuli asusiwe kila mahali na mataifa mengine duniani

    Siasa nyengine aibu kwa mtu msomi na mwenye akili.. #kama Rais asusiwe basi ni afadhali aanze yeye kususa au ahame nchi ili iwe mfano kwa hayo mataifa.. Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
  2. abusahim

    JamiiForums Tanzania GIGY money afanya balaa kwenye Studio za wasafi classic, Rayvany alazimishwa

    Halafu eti boss wa wasafi amevaa kanzu kilemba full muislam lkn amekaa na kahaba hapo ni full zambi #Lana%hizoo@%# Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
  3. abusahim

    JamiiForums Tanzania Tambua kama unadukuliwa WhatsApp yako

    Ahsante kwa msaada wako, kumbe account yng inadukuliwa..
  4. abusahim

    JamiiForums Tanzania Salome Makamba(Mbunge), ahoji ujenzi uwanja wa ndege Chato, barabara ya Bagamoyo na ununuzi wa ndege

    Upinzani kwenye maendeleo.. Haufai, kama wewe tungalikupa urais ungaliifanyia nini Tz?!
  5. abusahim

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anawathamini WanaJamiiForums na Kuipenda, tumuunge Mkono

    Tumuunge mkono kuizamua Tz iyopotea kwenye kina kirefu cha maji kwa mda mrefu, mungu ampe nguvu kuondoa mafisadi nchi nzima..
  6. abusahim

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Askari nikisema mbunge atoke akikaidi mpigeni nawaruhusu

    Dah! Sasa komfuu ndani ya mjengo..
  7. abusahim

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Wabunge Ester Bulaya na Halima Mdee Wafungiwa Vikao vya Bunge kwa mwaka mzima

    Ahsante Hon. Ndugai lazima kiti kiheshimiwe..
  8. abusahim

    JamiiForums Tanzania Risasi zarindima muda huu Kitunda, mmoja atiwa nguvuni

    Ni bora tuone chanzo halisi cha kurupushani hizo ni nini badala ya kutoa lawama tu za upande fulani..
  9. abusahim

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Wakenya hawajui kiswahili!!!

    Bcoz kiswahili si asili yao.
  10. abusahim

    JamiiForums Tanzania Jaza ujazwe ya Tigo yaleta kizazaa, Jamaa atishia kuwashtaki

    Ni kweli matangazo wanayo toa huleta maana za matusi, najiskia hasira sana kunitumia ujumbe kama huu eti nijazwe! This is misuse of kiswahili lg in our societies.
  11. abusahim

    JamiiForums Tanzania Siyo Kila Kingaacho ni Dhahabu.

    Na shaba nayo hung'ara..
  12. abusahim

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Kuandama kwa mwezi Mtukufu wa Ramadhani

    Are you serious?
  13. abusahim

    JamiiForums Tanzania Hii sio kanda maalum, ni Ethiopia! Mwanamke kuomba kupigwa viboko kuonyesha upendo kwa mume

    Kweli miongoni mwa waafrica wengi wanahitaji to be civilized, binadamu wa kawaida hakai kuwaza vitendo hivyo, aibu na fedheha au hawapo ulimwenguni?
  14. abusahim

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanajeshi wengi wakipewa Mkopo hukimbilia kununua tu Magari na si kujiendeleza Kimaisha?

    Hayao ndio maisha yao wanayopenda kuishi.
Back
Top Bottom