Recent content by abura90

  1. abura90

    Wasifu wa Elimu wa Dr. Mary Mwanjelwa

    Huyu Mheshimiwa ni Mwongo tena anapenda kuudanganya umma, hajawahi kuwa mkurugenzi wa PSI- TANZANIA , pale alikwua tu mtu wa mawasiliano , adanganya umma na anaonyesha yaliyomo moyoni mwake , UCHU WA MADARAKA. PSI haijawahi kuwa na mkurugenzi mtanzania zaidi ya Daktari mmoja hivi somebody ROMANUS
  2. abura90

    Tangazo Hili la Haki Elimu Linamdhihaki JK.

    HakiElimu | Facebook
  3. abura90

    Power Breakfast (Clouds FM) wawapasha TANESCO!

    big ups kwa hili la leo , sina uhakika na yaliyopita ambayo mlikuwa na ushabiki nayo lakini leo niliwasikia LIVE asubuhi nikija kazini kama mtaendelea hivi basi mambo yatabadilika sana , ile style ya leo kali sana , sasa nadhani mmejifunza muache ushabiki wa kisiasa lakini msisite kupongeza...
  4. abura90

    GE2010 Utata katika matokeo ya Urais na Ubunge... NEC vipi?

    Kweli kabisa sometimes Amani bila ncha ya Upanga inakuwa ngumu Tanzania ni wanafki sana Amani my A>>, can u imagine sehemu ambayo Lowasa ni Mungu mtu eti watu wasishiriki katika kura za ubunge kisha wakapige za Uraisi wakati hata raisi hawampendi sababu ya kumnyima Morani wao uwaziri mkuu ...
  5. abura90

    GE2010 Lewis makame apata kigugumizi na jasho alipohojiwa na waandishi wa habari

    Huyu kenge sijui aliiba mitihani judge wa wapi hajui sheria na anakuwa mwoga ,mshenzi sana anatetemeka temeka nini njia ya mwongo ni fupi sana! Dr kushinda tulijua isingewezekana angeshinda huyu Mshikaji KJ lakini suala la matokeo ya sehemu alizoshinda Slaa kuchelewa kutangazwa makusudi na...
  6. abura90

    Ridhiwani Kikwete: Dokta Slaa anataka kunichafua!

    Dogo ana akili za kumshabikia mzee ili aendelee kula fedha za watanzania wavuja jasho mtoto wa ajabu sana huu , mara hotel siifahamu sijawahi kuingia ndani zaidi ya kuiona kisha anasema haina uwezo wa kubeba watu 30 amejuaje kama hakuwepo katika kamati au anajua alitendalo , hawa watu wabaya...
  7. abura90

    GE2010 Web ya Bunge

    hahahaaha walitoa asubuhi matokeo kuwa Chadema wamechukua Kiteto na Buchosa sasa tembelea sasa hivi uone wamebadili hadi picha
Back
Top Bottom