Lewis makame apata kigugumizi na jasho alipohojiwa na waandishi wa habari


Mantissa

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2010
Messages
876
Likes
29
Points
45

Mantissa

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2010
876 29 45
Jaji Lewis amepata kigugumizi kujibu hoja aliyoulizwa na waandishi wa habari kuwa matokeo anayotangaza yana ukweli ndani yake, alionekana kutetemeka sana huku maneno yakimtoka kwa kukatika katika. Hii inaonesha ni jinsi gani matokeo yanayotangazwa si ya kweli.

jamani, sijui tutatoka lini katika hii shida kutawaliwa na mtu tusiyemtaka.

Slaa usikubali matokeo hadi kieleweke.
 

Njowepo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Messages
9,349
Likes
428
Points
180

Njowepo

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2008
9,349 428 180
Kuna swali aligongwa kwa kiingilishi alijibu kwa jazba moyoni nkajisemea DHAMIRA YAKE YAMSUTAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 

Mutu

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2008
Messages
1,333
Likes
9
Points
0

Mutu

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2008
1,333 9 0
kweli hakuna haja ya kutawaliwa kwa lazima na serikali isiyo na tija .

Slaa hakuna haja ya kukubali haya matokeo
 

nzitunga

Senior Member
Joined
Oct 31, 2010
Messages
193
Likes
2
Points
0

nzitunga

Senior Member
Joined Oct 31, 2010
193 2 0
Mimi niko nyuma ya Slaa, sababu ndiye chaguo la wengi. Na atakalosema talifuata. NEC ni extension ya CCM, haina jipya. Hata matokeo yanayotangazwa hayana mvuto si kwa wana-CHADEMA tu, hata kwa Wana-CCM wenyewe na watanzania wote kwa ujumla. Wameyaona matokeo yalivyokuwa katika majimbo yao, wanamshangaa Makame anavyoropoka ovyo. Hata kama umepewa sheria ya kutangaza, tangaza kadiri ya matashi ya wananchi sio kwa shinikizo. Makame unachafua profession yako kama mwanasheria na zaidi kama Jaji. Mbona aibu hata mtaani ukipita? Pole Makame kwa kukosa utashi binafsi.
 
Joined
Oct 6, 2010
Messages
8
Likes
0
Points
3

abura90

Member
Joined Oct 6, 2010
8 0 3
Huyu kenge sijui aliiba mitihani judge wa wapi hajui sheria na anakuwa mwoga ,mshenzi sana anatetemeka temeka nini njia ya mwongo ni fupi sana! Dr kushinda tulijua isingewezekana angeshinda huyu Mshikaji KJ lakini suala la matokeo ya sehemu alizoshinda Slaa kuchelewa kutangazwa makusudi na kumweka Dr Slaa wa tatu nyuma ya Lipumba ni ufisadi ubinafsi na unyama wa hali ya Juu, Bwana Mungu ni mtu wa haki hakika haki haitapotea , shindwa shetani NEC na malaika zake CCM
 

Forum statistics

Threads 1,204,943
Members 457,632
Posts 28,176,944