Recent content by Abunwasi

  1. Abunwasi

    Kwanini wasibadilishe hili Jina la uwanja wa ndege Ngerengere

    Wewe ni mtu wa ajabu sana. Kile kiwanja kipo Ngerengere halafu unatuambia kuwa hilo jina halifai. Nadhani kwanza ungebadilisha jina uliopewa na wazazi wako maana haliendani na wewe.
  2. Abunwasi

    Sioni 'utupu' wa Gigy Money, mamlaka zimehuhukumu kwa mihemko na kukurupuka

    Jee Baba yako anaingia kwenye chumba cha dada yako??? Wacha kutukanisha wazazi. Kama unaweza mruhusu mkeo avae hivyo halafu mwende night club.
  3. Abunwasi

    Sioni 'utupu' wa Gigy Money, mamlaka zimehuhukumu kwa mihemko na kukurupuka

    Jee Baba yako anaweza kuridhia dada yako akivaa nguo hii kwa wakati wowote ule? Mnajifanya wazungu na uzungu hamuuwezi.
  4. Abunwasi

    Filosofia: Muundo wa akili ya mwanamke ni sawa na "one way traffic", inaruhusu upande mmoja

    Hii nilisahau 12. Ubongo wa mwanamume ukubwa wake hupungua kadri umri unavyokwenda. Kwa kifupi wanaume tunakuwa "senile sooner than women@
  5. Abunwasi

    TRC na Ajali ya Dodoma: Kuna tatizo la kiutendaji

    Tusiwe premptive kwenye suala hili. Tuache uchunguzi ufanyike na baada ya hapo tutakuwa na haki ya kujadili/kuuliza kuhusu chanzo halisi kama ni uzembe au la.
  6. Abunwasi

    Watawala, siku wateule wenu wakigeuziwa kibao kwenye kuchapana viboko hadharani, tutaomba mkae kimya kama mlivyochagua kukaa kimya sasa

    Ni kweli kabisa. Bora wangepelekwa mahakamani kwa kuhujumu mali za umma na wengine kuwadhalilisha na kusafirisha binadam kwa manufaa ya kiuchumi.
  7. Abunwasi

    Jeshi la Polisi Arusha lawanasa Polisi wake 3 kwa tuhuma za kupokea Rushwa kutoka kwa Mfanyabiashara wa Madini

    Duu! Salam hizi zimfikie waziri mhusika atumbue wahusika kabla ya yeye kutumbuliwa.
  8. Abunwasi

    Elimu ya Josephat Gwajima inatia mashaka

    Mbona unakwenda mbali? Mchungaji ameomba nafasi ya ubunge. Jee vigezo vya elimu kwenye nafasi hiyo ni vipi? Jee yeye anakidhi vigezo hivyo vya kisheria???? Tuache longolongo. Nchini kuna vyama zaidi ya 15 na nafasi ya ubunge zilikuwa wazi kwenye vyama vyote hivyo. Kwa nini elimu ya Gwajima iwe...
  9. Abunwasi

    Maajabu hayaishi Tanzania. Kijana amemaliza chuo hana ajira lakini anaishabikia CCM

    Mimi ninaona hizo ni chuki za kimasikini ambazo ni donda ndugu kwa vijana. Hapa sizungumzii CCM wala Chama chochote cha siasa na kama kuna chama cha siasa kinaahidi ajira kwa wasomi wote, basi chama hicho ni feki. Ajira ninavyofahamu inaenda na mahitaji (ikama) Kuna kipindi nchi yetu ilikuwa...
  10. Abunwasi

    Maajabu hayaishi Tanzania. Kijana amemaliza chuo hana ajira lakini anaishabikia CCM

    Hivi hadi sasa akili yenu inawatumeni kuwa ukisha soma elimu ya juu ni lazima serikali iwaajirini?? Kama fikra ni hizo, inabidi mngojee peponi maana kwenye dunia ya sasa dhana hiyo imeyayuka kabisa kwani hata huko dunia ya kwanza ni vivo hivyo.
  11. Abunwasi

    Morogoro tumedhurumiwa malipo baada ya usahihishaji mtihani wa mock, halafu niipigie kura CCM

    Kama hutoipigia kura siyo kitu maana kura ni haki ya kidemokrasia kwa mja.
  12. Abunwasi

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu (CHADEMA), aomba mdahalo na Dkt. Pombe Magufuli (CCM)

    Anaomba mdahalo kwa mtu ambaye kila kukicha anamtukana, kumkejeli na kumdharau anatarajia atakubaliwa???? Waswahili wananena kuwa 'Kimya Kina Mshindo'
Back
Top Bottom