Recent content by abujarir

  1. A

    JamiiForums Tanzania John Mnyika amuita Rais Kikwete dhaifu, atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge

    Mnyika ameshindwa kutumia busara na hekima za bure ktk kuchangia na kuanza kumdhalilisha kiongozi mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tz, sikubaliani namna alivyochangia
  2. A

    JamiiForums Tanzania John Mnyika amuita Rais Kikwete dhaifu, atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge

    Kwa hakika mheshimiwa mnyika amesahau kwamba kuwa bunge linaongozwa kwa sheria taratibu na kanuni japo anachokizungumza kwa namna moja au nyingine kina ukweli fulani,alipaswa kutumia busara na hekima
  3. A

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema avuliwa ubunge

    Hongera mahakama kwa kutenda haki,endeleeni kusimamia sheria kwani ndo kukuza utawala wa sheria
  4. A

    JamiiForums Tanzania CCM na hila za uchaguzi Arumeru

    Narrow minded people discuss people thus y
  5. A

    JamiiForums Tanzania CCM haitakufa na itaongoza milele: Nape Nnauye

    ur brain z short minded thus y
  6. A

    JamiiForums Tanzania Zitto kweli ni wakati muafaka kutangaza hili?

    wewe ni mtumwa huna lolote wewe pamoja na mabwana zako
  7. A

    JamiiForums Tanzania Zitto kweli ni wakati muafaka kutangaza hili?

    we ni mnafiki na inaonekana kabisa kabisa umetumwa
  8. A

    JamiiForums Tanzania Uonavyo: Kati ya KWAME NKRUMAH na J K NYERERE. Yupi anastahili heshima ya kisiasa ki mataifa?

    kma hufahamu unakaa kimiya ,dont insult acha wanaowafahamu wachakate hoja
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mapungufu ya Zitto kwenye Kampeni za CHADEMA ni yapi?

    nadhani wewe utakuwa na lako jambo bora uwe muwazi ueleweke
  10. A

    JamiiForums Tanzania Hawa Ng’umbi kutoa ushahidi wa kumng’oa Mnyika kesho

    huyu hawa ngumbi anampotezea muda mnyika wa watu ,ni imani yangu kwamba jamaa ni jembe hivyo alishinda kihalali kwa kura za wakazi wa ubungo,hizi ni tapatapa za mfa maji
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mama Maria Nyerere amvika nguo BWM kwa kusema hausiki na kifo cha Nyerere

    Sio lazima uamini kama wewe si muumini wa ukweli ni mtu wa kudandia habari yeye mama maria ndiye anaye jua kuliko huyo vicent sijui unataka nini zaidi kama hutaki kuelewa ukweli huu
  12. A

    JamiiForums Tanzania Vicent amlipua Tendwa, Mkapa aomba suluhu

    nadhani uelewa wa huyu vicent ni mdogo sana,ndo maana anatueleza mambo ya msiba wa baba wa taifa kitu ambacho hakina hata maana kwa watanzania kwa kuwa amechelewa kutueleza mambo haya leo ni zaidi ya miaka kumi tangu afariki baba wa taifa
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kikwete si Tatizo la Tanzania!

    hauna jipya mzee hao waliokutuma na wewe wote mmepotoka
  14. A

    JamiiForums Tanzania KIJANA MAKINI Nape Kuiangamiza chadema Arusha Jumatatu

    hawa wapuuzi sijui wanatoa wapi habari hizi za kizushi,hebu badilikeni mnapoteza mvuto wa jamii forum
  15. A

    JamiiForums Tanzania CCM & TLP zang'ara chadema hoi bin tabani Arumeru East

    kweli nchi hii huwezi kuwapa wahuni ambao wanadiriki kutoa matusi na huu upotevu wa akili vichwani mwao.ni jambo laajabu mtu mwenye akili timamu kuandika matusi ktk sehemu hii,shame upon u
Back
Top Bottom