CCM & TLP zang'ara chadema hoi bin tabani Arumeru East

kweli nchi hii huwezi kuwapa wahuni ambao wanadiriki kutoa matusi na huu upotevu wa akili vichwani mwao.ni jambo laajabu mtu mwenye akili timamu kuandika matusi ktk sehemu hii,shame upon u
 
Anaitwa shykwanza, hvyo alipokuwa anaandika alikuwa anaona aibu kukisema chama chake cha magamba. Hivyo badilisha palipo na CHADEMA weka CCM and vice versa. Penye kauli mbiu ya 'people's power' weka - 'ccm ndio yenye serikali'
 
kweli nchi hii huwezi kuwapa wahuni ambao wanadiriki kutoa matusi na huu upotevu wa akili vichwani mwao.ni jambo laajabu mtu mwenye akili timamu kuandika matusi ktk sehemu hii,shame upon u

Join Date : 12th February 2012
Posts : 17

Ulijiunga siku 2 kabla ya valentine's day ili uchangie kwenye ile forum ya mapenzi. Ushauri wa bure - rudi huko huko maana huku ulikokuja siko!

Kampeni za uchaguzi ndani ya jimbo la arumeru zimepamba moto huku upepo wa kisiasa ukivuma vibaya kwa chadema baada ya kupoteza mvuto kwa kasi ya ajabu ndani ya Jimbo la arumeru. Aidha kwasasa ushindani mkali wa kuwania kiti hicho umebaki kwa vyama vya CCM na TLP. Chama cha TLP kimetamba kuongeza mbunge wa pili katika bunge la Tanzania baada ya kuanza kukubalika kwa kasi na wakazi wa jimbo la arumeru.

Chadema ambayo kwasasa viongozi wake wakuu wanakabiliwa na tuhuma nzito ya ufisadi imekosa sera na mwelekeo na kubaki kunadi kauli mbiu yake ya peoples power ambayo imewachosha wakazi wa arumeru.

Maskini CCM! Nyerere uliyotabiri ndani ya chama yametokea tayari kwani ulisema siku chama hiki kikimezwa na sera ya wapinzani kitakuwa kimejizika kwenye kabuli na wewe utahama kwa kiburi cha wanasisiemu.CCM WANATEKA SERA ZA CDM,CCM WANACHAFUA VIONGOZI WA CDM,CCM WANAHADAA WANANCHI WA ARUMERU,CCM WANATUKANA WATZ,CCM WANADHALILISHA AFRIKA YA MASHARIKI KWA KUTOKUWA NA KIONGOZI MWENYE BUSARA HATA MMOJA,CCM HAWANA HURUMA KWA MASKINI KWANI WAMEJIUNGA KUTETEA MATAJIRI,CCM WANATETEA UDHALIMU BADALA YA HAKI,CCM WANAAMINI CHAMA NDIYO DINI NA KWAMBA MUNGU YUKO LUMUMBA NA DODOMA NA NDIYO MAANA HAWAMUOGOPI MUNGU WA HAKI,CCM WANATABU NYINGI KWA KUWA WANA AKILI MTINDIO,CCM WANAFANYA MAGIZO MBELE YA WEREVU,CCM KILA AIPENDAYE NI SAWA NA MWARABU APENDAVYO TAARABU HANA ADABU,CCM SAFI NYERERE ALISHAHUNGANISHA NA CDM MWAKA 1999 MWEZI APRIL BAADA YA nkapa KURIDHIA UBEPARI,CCM CHAFU IMEBAKI NA USHAMBENGA YA NYERERE NDANI YA CDM INANG'ARA SAWA NA DHAHABU NDANI YA MCHANGA,KOMBORA LIKITUPWA CDM INAWAKA ZAIDI,CDM INAWANACHAMA WANAOFIKIRI ZAIDI KULIKO WA WAVYAMA VYOTE KWA MSISITIZO WA NYERERE,CDM INATHAMI MWANACHAMA WAKE KULIKO VYAMA VYOTE NDIYO MAANA MASKINI HUKICHANGIA CHAMA CHAO,CDM WANAMSHIKAMANO NA MWAKA 2015 WANASUBIRI WAUNDE DOLA 1 YA UHURU WA KWELI,HIVYO MASIKIO YAO YAMEWEKWA PAMBA DHIDI YA UMBEA KWA MAAGIZO YA NYERERE,PAMBA ITOLEWE MASIKIONI PALE MAKAMANDA WANAPO TOA MIKAKATI
 
Ningemwamini mleta mada kama kigezo si ufisad, huwezi kuona ufisad wa ccdm ukashindwa kuona wa ccm.
 
Kweli wewe kiboko! Yaani unashabikia vyama viwili aisee!
 
Jana TBC1 wamejitahidi kulazimishia picha ili watu wajae kwenye screen wapi bwana mkutano wa Nambala ulikuwa umedoda ile mbaya! Habari mnayo!
 
Mkuu, nimeangalia picha waliyoweka TBC jana nikashtuka kama wale ndio watu wanaohudhuria kampeni na kusema ccm imefunika basi tena mleta uzi anahitaji kupimwa akili.
 
Chadema ambayo kwasasa viongozi wake wakuu wanakabiliwa na tuhuma nzito ya ufisadi imekosa sera na mwelekeo na kubaki kunadi kauli mbiu yake ya peoples power ambayo imewachosha wakazi wa arumeru.

tuhuma gani nzito za ufisadi walizonazo? ni nani na nani?
 
waambieni viongozi wenu wajibu tuhuma za ufisadi zinazowakabili na sio kujamba jamba hapa jukwani

viongoz wetu wakujibu wewe??kwa tuhuma zipi??kwanza kamwambie mkapa atwambie kwnini alimuua nyerere.kunguni nyie ww na makapi..rogertht.
 
Kampeni za uchaguzi ndani ya jimbo la arumeru zimepamba moto huku upepo wa kisiasa ukivuma vibaya kwa chadema baada ya kupoteza mvuto kwa kasi ya ajabu ndani ya Jimbo la arumeru. Aidha kwasasa ushindani mkali wa kuwania kiti hicho umebaki kwa vyama vya CCM na TLP. Chama cha TLP kimetamba kuongeza mbunge wa pili katika bunge la Tanzania baada ya kuanza kukubalika kwa kasi na wakazi wa jimbo la arumeru.

Chadema ambayo kwasasa viongozi wake wakuu wanakabiliwa na tuhuma nzito ya ufisadi imekosa sera na mwelekeo na kubaki kunadi kauli mbiu yake ya peoples power ambayo imewachosha wakazi wa arumeru.

Nadhani kwa signature yako ulichokifanya ni haki kabisa....Nina uhakika kabisaaa....Wewe na ndala zangu za maliwatoni hamtofautiani..kukanyagwa kila ukiwa na haja...Sasa wewe hao waliokutuma wamekufanya ndala za maliwatoni na wala huna malipo yeyote zaidi ya kukanyagwa...

  • :redface:

Kampeni za uchaguzi ndani ya jimbo la arumeru zimepamba moto huku upepo wa kisiasa ukivuma vibaya kwa chadema baada ya kupoteza mvuto kwa kasi ya ajabu ndani ya Jimbo la arumeru. Aidha kwasasa ushindani mkali wa kuwania kiti hicho umebaki kwa vyama vya CCM na TLP. Chama cha TLP kimetamba kuongeza mbunge wa pili katika bunge la Tanzania baada ya kuanza kukubalika kwa kasi na wakazi wa jimbo la arumeru.

Chadema ambayo kwasasa viongozi wake wakuu wanakabiliwa na tuhuma nzito ya ufisadi imekosa sera na mwelekeo na kubaki kunadi kauli mbiu yake ya peoples power ambayo imewachosha wakazi wa arumeru.
Mkuu asante kwa Taarifa. Naomba utuwekee picha angalau moja ya mikutano ya TLP.
 
Kampeni za uchaguzi ndani ya jimbo la arumeru zimepamba moto huku upepo wa kisiasa ukivuma vibaya kwa chadema baada ya kupoteza mvuto kwa kasi ya ajabu ndani ya Jimbo la arumeru. Aidha kwasasa ushindani mkali wa kuwania kiti hicho umebaki kwa vyama vya CCM na TLP. Chama cha TLP kimetamba kuongeza mbunge wa pili katika bunge la Tanzania baada ya kuanza kukubalika kwa kasi na wakazi wa jimbo la arumeru.

Chadema ambayo kwasasa viongozi wake wakuu wanakabiliwa na tuhuma nzito ya ufisadi imekosa sera na mwelekeo na kubaki kunadi kauli mbiu yake ya peoples power ambayo imewachosha wakazi wa arumeru.

mi nahisi masab.uri ndio yanaendesha mawazo ya huyu gamba toto ....
 
waambieni viongozi wenu wajibu tuhuma za ufisadi zinazowakabili na sio kujamba jamba hapa jukwani

una pepo la ngono ambalo limekutafuna hadi huwezi kufikiria...ufisadi wanafanya wa.u.me.za.ko wanaokutafuna na kukudanganya kwa chipsi mayai ili uje uandike pumba hapa jf..mwambie kwanza mkapa atuambie watanzania alimuua vip nyerere..dogo unatumika kama toilet paper hata hujitambui..
 
Kweli wewe unatumiwa, naanza kuamini kuwa kuna wenzetu humu ndani wanafaidika na uwepo wetu kwa kulipwa pesa ili kupotosha ukweli na kuipigania CCM
 
Back
Top Bottom