mathematics
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 3,323
- 1,105
Nape ni vuvuzela na ni kibaraka mkubwa wa Lowassa.
hahaha, wewe nawe hii yako ni brand nyu...
Nape ni vuvuzela na ni kibaraka mkubwa wa Lowassa.
Nappe amesema CCM haitakuja kufa na itaongoza milele.
Ameitoa kauli hiyo kufuatia kauli zilizotamkwa na wazee 3 ambao ni Butiku, Kitine na mzee Kaduma waliosema kuwa CCM inakaribia kufa bin kutokomea.
Source: ITV taarifa ya habari saa mbili jioni ya leo
:Ndio
kazi yake jamani, tutegemee nini kingine, akisema vinginevyo ataulizwa,
unafanya kwenye chama kinachokufa?
Al Sahaf....:
ni kama yule msemaji wa sadam husein. mmnamkumbuka?
Al Sahaf....
Nappe amesema CCM haitakuja kufa na itaongoza milele.
Ameitoa kauli hiyo kufuatia kauli zilizotamkwa na wazee 3 ambao ni Butiku, Kitine na mzee Kaduma waliosema kuwa CCM inakaribia kufa bin kutokomea. Source: ITV taarifa ya habari saa mbili jioni ya leo
Wakuu pamoja na kupotea, mimi nadhani na ndio imani yangu, Nape ameongea sawa na kwamba kwa kuwa CCM sio mtu ni taasisi, na moja ya sifa ya taasisi ni succession and continuity, ccm ya Mwalimu sio hii kwa maana ya uongozi na viongozi, lakini nia, imani na malengo yake na kwa mujibu wa katiba yake bado ni yale yale, hivyo hoja ya ccm kuishi milele maana yake ndio hiyo na sio kwa maana kwamba ccm ni mtu na hivyo ataishi milele, hii ina maana viongozi na uongozi utakwenda na kubadilika ikiwa ni pamoja na kukidhi matakwa na haja ya wakati, lakini ccm itaendelea kuwepo.