Recent content by Abuhamso

  1. Abuhamso

    Mobius motors - kenya's first car company

    Proudly Kenyan Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Abuhamso

    Your alltime favourite ALI KIBA song?

    Mapenzi yana run dunia
  3. Abuhamso

    External speakers za laptop

    Hizi bei yake si iko chini sana? Ungenionyesha na picha ingekua bora sana kama ukonazo. Shukran
  4. Abuhamso

    External speakers za laptop

    Shukran. Bado sijaju wireless na zenye wire bora ni zipi ndo ungeniambia nichague zipi. Kuhusu hizo za subwoofer bei ni zipi?
  5. Abuhamso

    External speakers za laptop

    Wakuu za mida. Back to point nataka kununua external speakers za laptop yangu aina ya Hp nienjoy mziki na movies Nikiwa bedroom kwangu. So aina gani ni poa na bei yake ni sh ngapi. Quality & durable speakers. Shukran
  6. Abuhamso

    Msaada wa mawazo: Nimetengeneza Instagram ya kibongo

    Kenya pia unaweza kuitumia ama inahusu mambo ya bongo pekeyake felijose
  7. Abuhamso

    dr dre Compton album 2015

    Shukran mkuu acha niipakue. Nimeiona ikitrend #kot ninauwakika ni mzigo wa maana. Namkubali sana Dr dre
  8. Abuhamso

    dr dre Compton album 2015

    naomba hii album mwenye link anisaidie niipakue bure. Shukran
  9. Abuhamso

    Ali Kiba Fans' Special Thread...

    CUTE_b +245708088885! Asap
  10. Abuhamso

    Simu zitakazopata android 5.0 aka lollipop

    Watumia simu gani hiyo mkuu mtoto
  11. Abuhamso

    Simu zitakazopata android 5.0 aka lollipop

    Shukran. Ila nazungumzia updates za lollipop? Kuna fununu mtandaoni kwamba core prime zinapata lollipop
  12. Abuhamso

    Simu zitakazopata android 5.0 aka lollipop

    nimeapdate galaxy core prime but sijaona any changes. Ktk android version bado inasoma 4.4.4 shida ni nini? model no. Sm-G360H
Back
Top Bottom