Kabaridi
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 2,023
- 534
Kwanza habari za saa hizi Kabaridi, hivi kwa nini hutaki kununua steel kutoka TANZANIA - unajuaje kwamba mali kutoka India itakua cheaper kuliko ya kutoka TANZANIA, basi na mimi kutoka leo sinunui maziwa ya Brookside wala Panadol/Aspro kutoka kwenu. Hupo hapo Kabaridi, ngoma draw.
hapana ndugu tafadhali reconsider your desicion, lol, we can strike a deal