Nimepima ujumbe wangu kwa mizani huru,
Nimetambua unaakili nyingi kuliko aliyeanzisha mada!
Mwanzisha mada itakuwa katumwa na either ndiye amekuwa akishauli wapinzani kususia chaguzi kama zile za serikali za mitaa.
Nadhani mkakani wa mleta mada ulishapitwa na wakati akamwambie aliyemtuma kuwa...
Huu ni uchaguzi wa kimkakati sana kwa kila mpiga kura!
Ni either uchaguwe haki au dhuluma!
Au uchague mtetezi wa kweli wa wanyonge ama uchague mzalishaji wa wanyonge, shida na mataabiko ya watu.
Wapiga kura tumepewa mtihani mkubwa na mwepesi mbele za Muumba wetu. Kabla ya kupiga kura yako...
Huyu Magufuli ni tatizo zaidi ya matatizo ya nchi.
Na hasa anapojiona yeye ni mwema kuliko wenzake na kumbe ndiye mbovu kuliko wote ila anabebwa na mfumo aliouandaa tu, lkn ingekuwa haki bin haki ,hoja kwa hoja asingepata hata kura 1M
Sema kwavile sisi watz ni bora uzima kuliko haki ya mtu...
Akutafute wapi au unataka na yeye umpoteze[emoji15][emoji15][emoji15]!
Mjibu hapahapa kwa faida ya wengi.
Alafu na Mimi ninakaswali kwako hivi Yale mawe uliyo jiandika huwa ukiyaona unajihisi vp na fharama za uandishi ulitumia kiasi gani??!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaona wanakuingilia mambo yako ya ndani!
Kwani wao ndo wamahukumu Kesi hiyo??!
Wewe unaona haki imetendeka ktk Kesi hiyo??!
Walioona haki haipo ni watanzania wenzako sasa wewe unalalama kuingiliwa vp! Umeumizwa??!
Kwani ungewashauli wenzako wakatenda haki na viapo vile vikatolewa leo haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.