Recent content by Abubakar Karsan

  1. A

    TANZIA Mwandishi wa Habari wa siku nyingi, Jacob Kambili afariki dunia

    Mwandishi wa Habari mkongwe ambaye amewahi kufanya kazi, sehemu mbalimbali na hatimae akafanya kazi UTPC chini yangu mimi, amefariki dunia jana asubuhi kwenye hospitali ya rufaa ya Bugando Jijini Mwanza. Mipango ya mazishi yake tutawaarifuni baadaye leo. Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la...
  2. A

    Uchaguzi 2020 Muungano wa CHADEMA na ACT, utaifaidisha zaidi ACT-Wazalendo

    Kwenye siasa hakuna adui wa milele na rafiki wa kudumu,kila kitu kinategemea ni muda upi na muktadha upi
  3. A

    Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT, mkishindwa kuwa kitu kimoja na kuachiana majimbo mtawafaidisha CCM

    Chadema na ACT hawawezi kabisa kushirikiana,kutokaba na historia ya vyama hivyo,wanachoweza kufanya ni kuishi kwa kuvumiliana,na kuukubali ukweli kuwa kwao kushirikiana ni kama mbingu na ardhi
  4. A

    CCM they used the word "Wanyonge" to deceive ignorant

    Haina haja ya kuandika kiingereza kama hukijui,jukwaa hili si la kujifunza lugha
  5. A

    Namtafuta Mwalimu John Kuzwa Maganga

    Namtafuta mwalimu wangu kipenzi, John Kuzwa Maganga ambaye alikuwa Mwalimu Mkuu wa Kitongo Primary School, Nzega, alikuja kuchukua nafasi ya Anton Diaz ambaye alihamishiwa shule nyingine. Mwl. Maganga alikuwa rafiki yangu sana, alienda kusoma Mzumbe wakati huo haikuwa Chuo Kikuu. Nasikia...
  6. A

    Mastaa 7 Bongo wasio na skendo

    Jogoo asipopanda mtungu sio kashfa ni ulemavu
  7. A

    Kwanini Diamond akimuona Ally Kiba huwa anapaniki sana na kupelekea kuharibu jukwaani?

    King Kiba ni mwimbaji bingwa na Diamond yeye ni bingwa wa kutumia jukwaa tu,hiyo ndio tofauti yao
  8. A

    Zuchu ana nyota kali sana (Female version of Diamond)

    Ila zuchu akijiregeza tu basi ataishia kuwa chakula cha wanyama wakali
  9. A

    Ushuhuda: Jinsi ninavyojenga nyumba ya ndoto yangu

    Mimi nimejifunza kitu kutokana ba narrative hii,ni determination yako
  10. A

    Ipi faida ya Mzee Alli Hassan Mwinyi kuwepo Dodoma kama Baba wa Taifa aliyebakia?

    Unajua,tujifunze maana ya uhuru wa mtu kutoa maoni,na mzee mwinyi hajaongea kitu kibaya,mradi tu kiridhiwe na watanzania wote,na sababu zake amezitoa kwanini anaomba magu apewe zawadi ya miaka 5 kuongoza
  11. A

    Muhimbili wakataa kumpatia kijana maiti ya mkewe kwa kushindwa kulipa deni

    Oh maskini lakini serikali hii kupitia kwa waziri wa afya ilishatangaza kuwa watu watibiwe kwanza malipo baadae na pia maiti wapewe made i yalipwe baadae,sasa imekuwaje?
Back
Top Bottom