Gombe National park hits in Hardtalk

Gombe National park hits in Hardtalk

Nasikia Hifadhi ya Gombe imepunguziwa eneo na wamepewa wananchi wajenge nyumba za makazi
Hii ndiyo moja ya sababu ya taasisi yake kuwepo. Kuwasaidia wananchi wanaozunguka eneo hilo. Lakini imekuwa ni changamoto pia.
 
Huyu mama Dkt. Jane Goodall na taasisi yake anaifahamu gombe kama vile ni Muha. Pongezi kwake kwa kutetea/kulinda wanyama adhimu kama chipanzee wasitoweke katika uso wa dunia.

Hakika mama huyu anafanya kazi nzuri. Ndugu Steven Sucker ameikubali kazi yake.

Wito kwa wizara ya maliasili na utalii ifanye hima kutafiti na kuwekeza katika vivutio nchini sio hadi wazungu wafanye hizi kazi ndani ya nchi yetu.

Tuwapokee kama wabia tu.
Umesema kweli
 
Back
Top Bottom