Namtafuta Mwalimu John Kuzwa Maganga

Namtafuta Mwalimu John Kuzwa Maganga

Joined
Oct 27, 2019
Posts
62
Reaction score
45
Namtafuta mwalimu wangu kipenzi, John Kuzwa Maganga ambaye alikuwa Mwalimu Mkuu wa Kitongo Primary School, Nzega, alikuja kuchukua nafasi ya Anton Diaz ambaye alihamishiwa shule nyingine. Mwl. Maganga alikuwa rafiki yangu sana, alienda kusoma Mzumbe wakati huo haikuwa Chuo Kikuu.

Nasikia aliwahi kufanya kazi tumbaku Morogoro na Mzinga kiwanda cha silaha huko Morogoro. Mwl. kama uko humu tafadhali sana, tuwasiliane na kama kuna mtu anajua alipo basi amwambie mimi namtafuta sana
 
Back
Top Bottom