Mastaa 7 Bongo wasio na skendo

huyo team Wema ni Shoga ukibisha na wewe Shoga mwenzie.

Mtoto wa kiume unapigaje picha umejibinua namna hii.
 
Naona karibia hao wote sana skendo za kupumuliwa kisogoni na mwanaume kasoro huyo maji mengi skendo zake afadhari kidogo
 
8e599889d2930344c180b09ac746f9a0.jpg
3660e1a229e402e897b82298ddd02a26.jpg


Nimefurahi kuona wameuukubali Uzi wakaucopy na kuutupia kwenye blog!!...I real appreciate that!!
Wamemshindwa hata kunipa appreciation
 
Hawana skendo au skendo zao hazijakufikia ukazijua?

Nini kipimo chako cha kuyasema hayo?

Je wahalifu ni wale ambao taarifa zao zipo jera tu?
Au mahakamani au vituo vya polisi?

Ni wezi wangapi wako uraiani
Ambao taarifa zao hazipo kwenye vyombo vya dola?

Suspicion will gives you precautions!

Tafakari!
 
😂😂😂😂 hivi nyie mmemuelewa kweli mtoa mada? Hebu angalieni hao mastar aliowaweka ni jinsia gani na skendo zao kubwa ni zipi.
 
Back
Top Bottom