Recent content by Abu Hamid

  1. A

    JamiiForums Tanzania Tujuzeni kinachoendelea Zanzibar

    Kwa nini usiende mwenyewe kujiona hali halisi...ya kuona sio ya kusikia...ukiona utaelewa zaidi unachokitaka!
  2. A

    JamiiForums Tanzania Why Black People and White People? (Kwanini kuwe na Mtu Mweusi na Mtu Mweupe?)

    Binaadam weusi, weupe wa kati na kati (Si weusi si weupe) wote tumeumbwa kutokana na kiumbe mmoja tu (Adam). Adam aliumbwa kwa udongo wa aina mbali mbali (wa rangi nyeusi, rangi nyeupe, udongo mgumu, udongo mlaini, yaani aina zote za udongo alizoumba Mungu katika Ardhi zilitumika kama...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Tujifunze upendo wa kweli kwa Magufuli na Shein

    Usidanganye watu na usipotoshe ukweli. Katika mada yangu " CCM inaogopa kivuli cha Maalim Seif" nilisema kuwa viongozi, hasa wa Zanzibar wamevishwa shemere na wana tenda yale alieshika hatamu anataka. Nilisema pia sasa tutashuhudia misusururu ya viongozi wakipanga foleni kumjuulia hali...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Maalim Self imezungukwa na wanajeshi, hakuna kutoka wala kuingia

    Si kweli, mimi naishi Mbweni Zanzibar, Maalim Seif anaishi nyumba ya tatu kutoka nyumba yangu...jirani kabisa, hapa nje kuna FFU wale tuliowazowea wa kila siku, hakuna mwanajeshi hata mmoja tangu juampili siku ya uchaguzi hadi hivi sasa ninavykwambia niko home na hapo nje hakuna jeshi hata mmoja.
  5. A

    JamiiForums Tanzania UDSM: GPA ya Maalimu Seif Sharifu Hamad

    naunga mkono hoja yako, haifai kukashifiana kidini
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kutongozwa ni lazima, tunawashangaa wanaotoa majibu ya matusi

    Mwanamke akiamua kukupa husumbuki kusema neno hata moja, personality yako tu inaongea. Ukuvamia kizembe ndio yatakukuta kama yaliyokukuta!
  7. A

    JamiiForums Tanzania Govi langu linanitesa sana

    Nimecheka sana...!
  8. A

    JamiiForums Tanzania Celebrity Lawyer Albert Msando: Utajiri wa ghafla wamchanganya, afanya kufuru

    Mimi sijaona tatizo la huyu Wakili Msando, gari zake, nyumba zake, pesa zake...na wewe tafuta zako!
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa ESCROW Bungeni kurejewa ITV baada ya habari usiku huu

    unajua tofauti ya herufi R na L katika maandishi na matamshi?
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria mpya Zanzibar hataki kurudi nchini

    Hiyo habari ya kuwa hayupo nchini ni kweli, Said Hassan Said alikuwa nchini Ujerumani wakati wa uteuzi wake, ila hilo la kwamba hatorudi tena, sijui ukweli wake, ila uhakika ni kwamba sasa hivi yupo Germany!
  11. A

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri uwanja wa Jamhuri Dodoma: Rais Kikwete kukabidhiwa Rasimu ya Katiba Mpya

    ulinzi na usalama ni muhimu sana
  12. A

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete: Nipo tayari kukutana na UKAWA

    Steling wa mchezo anapojiunga na maadui. "STELING"...!!!???
  13. A

    JamiiForums Tanzania Uvaaji wa hijab kwa wanafunzi wa sekondari Tanzania

    Mkuu nakubaliana na wewe.
  14. A

    JamiiForums Tanzania UKAWA ni timu ya Taifa!

    Timu ya Taifa ya Tanganyika? Ya Zanzibar? au Tanzania?
Back
Top Bottom