gogo la shamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 6,669
- 2,165
sisi kina gogo la shamba tulishasema hila kwa wakati huu haina nafasi.huu ni wakati wa uwazi na ukweli kwa sababu wenye kujua mambo ni wengi lakini ccm hawajaliona hilo wao bado wako kwenye mpango wao wa kufanya hila ndio maana wanaumbuka kila wafanyapo hila