Habari za uzima wakuu? Natafuta binti mwenye sifa zifuatazo:
Umri chini ya miaka 30,
Awe na utu,uvumilivu na upendo.
Elimu kuanzia kidato cha nne.
Awe tayari kuishi dsm.
Kimo kuanzia futi 4ft 9'
Rangi yoyote,dini yoyote.
Awe na matumaini ya upendo na kujenga familia hata kama kaumizwa kwenye...
Wengi wao ni kabila moja, dini moja na hata wakati mwengine wanatoka vijiji vya karibu na koo zao unakuta zinafahamiana kabla hata ya ndoa, kwahiyo hakuna jipya au la ajabu linalofanywa na mmoja wao kwa mwengine kwa asilimia kubwa ndoa zao hazikua za majaribu au kubahatisha .
Kulazimisha kuwa kama mtu flani genetically ni ugonjwa wa akili na kutojiamini na uthibitisho bado upo kwenye utumwa, tuwazoee mkuu ni wagonjwa tu ao wapo kila jamii ya afrika (kabila)
Mkuu unacho ongea kipo ila uyo jamaa anajaribu kuaminisha wasiojua kuwa akipo usipate tabu sana kumuelewesha just muelewe dhumuni lake tu halafu mpotezee
Mkuu mleta mada ni wale wanaojiona werevu (wajanja) kwa kujua aina za simu au magari au historia ya queen elizabeth wakati haina mashiko na maendeleo yake kwa nyanja zote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.