Tanzania ina kila kitu kinachohitajika duniani ili hawa watu watuheshimu kinachohitajika kwa sasa ni kupata mtu PATRIOTIC atakayetuongoza kwa kadri ya mapenzi yetu kwa ujumla wetu kama Watanzania. Amini nakuambieni kuna siku na saa mtu huyo atapatikana, na mawazo yake na maono atakayokuwa nayo...
Hili la EAC political platform siyo la leo. Mimi nilikuwa kati ya watu ambao walipinga kwa nguvu zao zote kuwaingiza Warundi na Wanyarwanda(aspirants wa Bahima Empire) ktk ile iliyokuwa genuine EAC. Kagame(a known war monger) na M7(a power aspirant of all time) ni washabiki wakubwa wa hii...
Rais Kikwete hana haja wala sababu ya kuomba radhi. Who is Kagame after all? Asilete ubabaishaji anaowafanyia Kongo hapa kwetu.
Nasema tena Kikwete hana sababu ya kuomba radhi, kwa lipi?
Hata mimi napenda alichofanya JK lakini asisahau kuchukuwa madini na mbao huko kulipia gharama tunazoingia wakati wa kutekeleza jukumu letu la kuwafanya Wakongo nao waishi na kuifurahia nchi yao kama binadamu wengine.
Ndugu zangu wa-Tanganyika, tunapokuwa tunaongelea masuala muhimu ya nchi yetu ni vyema tukajikita katika uhalisia na umuhimu wake. Amani yetu ijadiliwe kwa kuuona umuhimu wake siyo kuingiza chuki binafsi katika majadiliano yetu.Kuna watu wakiona jina la Dr Slaa tu wanarukwa na akili. Slaa ana...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.