kwa hili tuko pamoja na rais kikwete, kama hao fldr wameendelea na vita vya muda mrefu dhidi ya wakongo na hata rwanda yenyewe, kikwete alikua sahihi kutoa ushauri ule, hapa cha muhimu ni hiki, jaribuni kutekeleza kile rais wenu alicho kisema, tutashughulika na nyie, kwanza ni watu wa ajabu sijapata kuona, hamna shukurani kabisa, tumewahifadhi bure kwa muda mrefu hapa nchini wakati kwenu kukiwa na vita halafu leo eti mnakuja na koropoka, jwtz ipo tayari kwa kazi, hizi zote mnaleta mara baada ya kubanywa kule goma na wizi wenu mliokua mkiendelea nao huko ma madini ya almasi na dhahabu. Narudia, kwa hili tutabaki kama watanzania na sio cdm na ccm!