ukweli juu ya yanga sc na usajili wa ngasa.

ukweli juu ya yanga sc na usajili wa ngasa.

rolla

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
2,274
Reaction score
1,214
anayejua kinachoendelea au ni ubabaishaji ule ule
 
anayejua kinachoendelea au ni ubabaishaji ule ule

nikajua unadata kumbe unataka kujua nini kinaendelea ngoja nikupe yalioongelewa na tff juzi..

ingia hapa www.tff.or.tz usome kinachoendelea..
 
Yanga wamewasilisha tff mkataba na ngassa ulioambatanishwa na fomu za usajili wake. Simba wamewakilisha mkata tu ambao aliusaini baada ya kujiunga nayo kwa mkopo kwa makubaliano kuwa akimaliza mkopo ataichezea

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom