wajuzi wameniambia hivi maana nimeamua kuuliza ni kwamba anachinjwa ng'ombe dume ambaye anakuja liwa kesho yake,halafu jeneza linafunikwa ngozi ya chui basi machief wanamalizia kazi ya kuzika.ni hayo tu
akome kwani ukiwa na mkubwa ndio ujitutuse ukose na heshima.kula kimya kimya uende zako kuna wanawake wako na watu wenye nyadhifa hata zaidi ya huyo mkuu,lakini wametulia zao wanakula vyao no mashauzi.akajifunze
KWELI JAMANI ASANTE MDAU kwa mada.mimi inanikera sana siku zote mtu hakutafuti kabisa ikikaribia harusi yake anajifanya kukukumbuka ili mwisho wa siku uchange.kila siku msg za kukumbushia michango hadi kero mishahara yenyewe midogo majukumu kibao.akhaaaaa.......tupumzisheni kidogo raha mpate...
lakini sina uhakika huyo mshikaji angeweza kukojoa hata kwenye kichupa baada ya kuona hawamuelewi.mimi nikisafiri sitakagi hata kunywa vimiminika ovyo kuepuka adha kama hii.:wave:
hatuna FIELD FORCE UNIT kabisa yaani hapo ni tamaa hasa ndio inawasumbua na ubwete maana hawajitambui kwani hata wale wa jiji wakiwakamataga machinga au mama ntilie hawafikishi vitu popote wanavichukua kwisha habari.ndio maana nimekipenda sana kibonzo cha masoud cha jana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.