Recent content by ABEL NESTORY

  1. ABEL NESTORY

    Nitaijibu Barua Ya Kujiuzulu ya Humphrey Polepole kwa Hoja Nzito na kuonyesha Unafiki wake na wale wanaomtumia kumyumbisha Rais Samia

    Hivi hii awamu ni sera zinazotekelezwa ni zile zilizoahidiwa mwaka 2020 za viwanda au ni utalii. Hivi upande wa bajeti ya utalii ni ileile iliyopitishwa au iliongezwa...
  2. ABEL NESTORY

    Hayawihayawi hatimaye yamekuwa: Mliokuwa mnasubiri Ajira za Ualimu nafasi zimetangazwa

    Wakuu ninaswali tafadhali. Nikijaribu kuingia leo mfumo wa ajira Tamisemi nakuta account yangu blocked (user account blocked) na nilikuwa hapo muda si mrefu( login) 1) Je ni suala la kimtandao ama nimekula pini 2) je muda umeisha wa kuomba ajira ( dirisha limefungwa)ndiyo huandika hivyo? 3) je...
  3. ABEL NESTORY

    Mfumo wa Tamisemi umefunguliwa

    Sina wenge mkuu kulikuwa na hizi za kujitolea mkuu. Ndyo maana nikauliza kuwa imefungwa kwangu tuu nikimaanisha niko blocked ama ni dirisha limefungwa mkuu. Rejea swali mkuu
  4. ABEL NESTORY

    Mfumo wa TAMISEMI umefungwa nahisi "user account locked"

    Wakuu ninaswali tafadhali. Nikijaribu kuingia leo mfumo wa ajira Tamisemi nakuta account yangu blocked (user account blocked) na nilikuwa hapo muda si mrefu 1) Je ni suala la kimtandao ama nimekula pini 2) je muda umeisha wa kuomba ajira ( dirisha limefungwa)ndiyo huandika hivyo? 3) je ikiwa...
  5. ABEL NESTORY

    Mfumo wa Tamisemi umefunguliwa

    Wakuu ninaswali tafadhali. Nikijaribu kuingia leo mfumo wa ajira Tamisemi nakuta account yangu blocked (user account blocked) na nilikuwa hapo muda si mrefu 1) Je ni suala la kimtandao ama nimekula pini 2) je muda umeisha wa kuomba ajira ( dirisha limefungwa)ndiyo huandika hivyo? 3) je ikiwa...
  6. ABEL NESTORY

    Je, ni kweli matokeo ya Kidato cha 6 - 2024 yatatoka Julai 12 kama wasemavyo HESLB?

    Hivi kuna necta yoyote ilishawahi kutangazwa usiku??. Nikimaanisha kuwa wanafunzi waamke asubuhi na kukuta majibu au matokeo yako mtandaoni.
  7. ABEL NESTORY

    Sakata la Warere Beach hotel kwa mtalii mgeni, Serikali ichunguze, wahusika wachukuliwe hatua, wametia doa sekta ya utalii nchini

    Pia siamini asilimia 70 kwani wenzetu huwa wanakuwa na long term plan. Anaweza kuwa alimuita jamaa room then akamtoa kwa style ya kuchukua condom ili lengo litimie baadae. Kwakuwa ni long term plan mtu huwa na mipango ya muda mrefu ila anajua kwa baadae ataika lengo lake. Mfano anajua kuna...
  8. ABEL NESTORY

    Ushauri; Nashindwa kujikubali

    Asee kupitia huu ujumbe nagundua you are the best..... Ila umesahau kuwa hakuna kama wewe na kamwe hautakuwa kama wao. Hivyo ujue wewe ni special na wengi tunapenda ulichonacho hasa huo uspecial wako. Jiangalie kwenye kioo halafu fumba jicho moja huku ukitembea kwa madaha halafu simama kisha...
  9. ABEL NESTORY

    Leo askofu Gwajima ataongoza mjadala kuhusu Chanjo ya Corona utakaohusisha Wanasayansi bingwa duniani akiwemo mtengenezaji!

    Wakuu naomba kuuliza... Nimesikia kuna wimbi la nne linakuja na kwa wenzetu jirani nmeskia leo kwenye chombo kimoja kuwa kimeaza. 1) je kutakuwa na chanjo yake nyingine? Kama itakuwepo chanjo nyingine je tutachoma ngapi kam vnaendelea?? 2)kama ni kinga hiyo moja why linakuwa wimbi la pili na...
  10. ABEL NESTORY

    Waziri Mwigulu si ulisema ni Vocha tu? Imekuwaje?

    Hii kwa kiingereza inaitwa am kufing now
  11. ABEL NESTORY

    Waziri Mwigulu: Makato ya Miamala ya Simu tunatunisha mfuko, ni 'Solidarity Fund'

    Uliyemtuma asiseme kama wewe ndiye umesema naye amesema tusiseme kuwa amesema umesema tusiseme.
  12. ABEL NESTORY

    Makato kodi ya miamala haya hapa, kuanza kesho

    Kutuma hela toka Dar mpka moro ni bora upande gari maana utapata faida ya kuonana na ndugu yako..
  13. ABEL NESTORY

    Halotel hongereni sana, ila Tigo, Vodacom na Airtel mnazingua, jichunguzeni

    Naomba mrejesho wa mada wakuu. Leo tarehe 2 april 2021. Hawa wajamaa duu toka 1.2gb mpaka 420mb. Hatari sana
Back
Top Bottom